Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh na uyo Dada alivyotulia ka ananyolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu jamaa si wa mchezo mchezo
Haahahahaahahaha pombe pori sio.Pombe pori imeshafanya yake kashavimbiwa hapo anawaza kiboksi manyoya sasa.binti Katulia kama anapishana na baba mkwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pombe pori imeshafanya yake kashavimbiwa hapo anawaza kiboksi manyoya sasa.binti Katulia kama anapishana na baba mkwe