hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
Mr Jamhuri huru, kifungu cha sheria ya public service Act kinachosema half Salary kiko kwenye public service regulation ya 2003 kifungu cha 34(4)hii ni regulation ya PSA number 8 ya 2002(public service act) na pia kifungu kinachofukuza kiko kwenye ACT yenyewe ya PSA 2002 kifungu cha 23 pia Rais...
ha ha ha dogo punguza jaziba, hapa TZ ukiwa na jaziba utakufa na presha,hata useme nini na ufanye nini huwezi kupandisha maji mlima Kilimanjaro mpaka kileleni kwa gravity
Chukua Airtel bei yake ni ndogo kununua ,matumizi yake ni TSH 2500 utapata mb 400 matumizi kwa mwezi mzima na pia inapatikana kote mpaka vijijini .MIMI NIMETUMIA ZOTE LAKINI HII NDO KIBOKO YA ZOTE.
Hapo imekuwa poa kabisa, wajamani jitokezeni kwa wingi sana ili mmalize hasira yenu kwa kuzuiwa maandamano ya katiba .Ni vema hilo likafanyika mkiwa na mabango yenu tena mbele ya Mgeni rasmi mwenye sifa.Hai kumbe Mungu hamtupi mja wake !!!!!!!!!
Mwandishi huyu atoe data ni wanawake wangapi waligombea nafasi hiyo na kura zao zilikuwaje na upendeleo anaosema unatokana na nini.Huyu jamaa hajui kuwa baadhi ya maeneo kumpata mtu wa kugombea Chama cha upinzani ni shida sana na ndiyo maana baadhi ya maeneo kulikuwa hakuna Wagombea wa vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.