Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
Jamani nahitaji kujua ni moderm gani ni nzuri,fast na ambayo pia ni cheap.nahitaji kujua kabla ya kununua na sina utaalam nazo.so tafadhali mnaojua pls msaada.
Jamani nahitaji kujua ni moderm gani ni nzuri,fast na ambayo pia ni cheap.nahitaji kujua kabla ya kununua na sina utaalam nazo.so tafadhali mnaojua pls msaada.
Modern = modem
modulator demodulator
nashukuru kwa ushauri wote wadau.nimenunua ya zantel na naona iko fresh tu.
thanx.
A)How it works?
B)what is the main function of modem?
C)Which types of signal modem process?
mi naipendaga ya zantel
Nunua yoyote ile halafu nitafute nikuchakachulie itakuwa inatumia line zote.
Nunua yoyote ile halafu nitafute nikuchakachulie itakuwa inatumia line zote.
Chukua Airtel bei yake ni ndogo kununua ,matumizi yake ni TSH 2500 utapata mb 400 matumizi kwa mwezi mzima na pia inapatikana kote mpaka vijijini .MIMI NIMETUMIA ZOTE LAKINI HII NDO KIBOKO YA ZOTE.Ukitaka bei chee nenda Airtel na bundle yao ya 2500 kwa mwezi at 400mb
Ukitaka speed nzuri kwa download purposes chukua TTCL ila ujiandane kwa poor customer service
Ukitaka ambayo itakuwa hewani pale Karatu (Kwa wakazi wa Arusha) ni Vodacom ila kwingine kote inasuasua na ni expensive
Ukitaka inayopatikana kwenye asilimia moja tu ya nchi ya Tanzania ni Zantel
Kwa wakazi wa Dar pekee ni Sasatel
Kuhusu Tigo, eh Mungu na atuokoe sote