Sijapata kuona Mamba akitafuna majani.!!!!!!

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Ndugu, Mwezi huu nawa kumi sijawai hona au kusikia kila mtu akisema hali mbaya sana.
UKATA, huu nimeufanananisha na Mamba kutoka majini na kwenda nchi kavu kula majani.
Jpili moja nimetoka kanisani napokea msg tatu za jamaa tofauti wakiomba niwatoe wakipata watarejesha,wakwanza laki 3,wapili laki2 na mwisho laki 2na nusu nikashangaa kwa sababu nami nilitaka niwakope nikawajulisha kwangu hali tete.

Kazi kila mtu anakimbilia kwa cashier kuomba advance waliyokuwa na mikopo ofisini wanalia kilio.
Kadri siku zinavyozidi hali ndo hiyo kila mtu analia tena sana anauliza hivi kuna nini mbona sielewi.?

Jamaa yangu anafanya kazi bank kitengo cha mikopo akanieleza,mkuu ali ni tete sijui itakuwaje watu awarejeshi kasiba mikopo,ukimpigia simu na kuja akifika ni sababu kibao,mabosi awaelewi wanataka tuwafatilie sasa kazi ngumu ajapata kuona.

WANAJF, Hali hii ni sawa na mamba kula majani,
 
Jana usiku fundi mmoja yupo mkoani akanipigia simu akiuliza kama mambo safi nimutoe kiaina na kajibu wangu mie natembelea kucha sasa nauliza nini tatizo,?
 
Je hali hipo kwangu na jamaa wanaonizunguka au.?
Najiuliza sipaji jibu,Nikapita kijiwe kimoja mtaa wa Samora washikaji wanasema hali tete kijiwe alieleweki.?
Aliye tuchekesha ni mgambo wa jiji pale Posta akasema alii hii noma,Unamkamata mtua na biashara yake machina anakwambia ni bora uchuwe hiyo biashara kuriko kutoa pesa unayoomba,HAPO mgambo anaachia biashara kwa deni njoo jioni nitakutoa.?
 
Juzi nilikuwa kwenye sendoff ya dada yetu,
Mie nilikuwa upande wa vinywaji nilichokion niwatu kunywa pombe kwa haraka sana.
Nikamsogelea jamaa mmoja naona alishaaza kuchangamka akasema bro kama kuna kabia kengine niongezee nina miezi sijahoaja maji haya nami nikaamulu mhudumu amuletee mbili zaidi.
Nikajiuliza hivi nikweli .?
 
WanaJF nisahidieni jibu
Nini tatizo?
Waona mbali nini tatizo hali hii ya kila mtu analia ukata.?
 
Ndugu, Mwezi huu nawa kumi sijawai hona au kusikia kila mtu akisema hali mbaya sana.
UKATA, huu nimeufanananisha na Mamba kutoka majini na kwenda nchi kavu kula majani.
Jpili moja nimetoka kanisani napokea msg tatu za jamaa tofauti wakiomba niwatoe wakipata watarejesha,wakwanza laki 3,wapili laki2 na mwisho laki 2na nusu nikashangaa kwa sababu nami nilitaka niwakope nikawajulisha kwangu hali tete.

Kazi kila mtu anakimbilia kwa cashier kuomba advance waliyokuwa na mikopo ofisini wanalia kilio.
Kadri siku zinavyozidi hali ndo hiyo kila mtu analia tena sana anauliza hivi kuna nini mbona sielewi.?

Jamaa yangu anafanya kazi bank kitengo cha mikopo akanieleza,mkuu ali ni tete sijui itakuwaje watu awarejeshi kasiba mikopo,ukimpigia simu na kuja akifika ni sababu kibao,mabosi awaelewi wanataka tuwafatilie sasa kazi ngumu ajapata kuona.

WANAJF, Hali hii ni sawa na mamba kula majani,

Sisi mwajiri wetu amepanga kumlipa kila mtu na tarehe yake, tumeshindwa kukusanya bulk fund kwa ajilio ya mishahara ya wote
 
Back
Top Bottom