Tuache Unafiki na Uzandiki: Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014! Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!

Thomas David

Member
Aug 22, 2008
51
3
Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014!

Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!

Historia ni historia....huwezi ukaibadilisha.....ukijaribu kuibadilisha unaharibu maana ya historia yenyewe

Tuache huu unafiki na tuwaonee huruma watoto wetu wanaojifunza historia na kuielewa vizuri nchi yao....ilikotoka na inakoelekea.

Hii hofu....hofu ya muungano.....

Hofu hii....sidhani kama itatufikisha mbali.

Tunashindwa hata kuhoji yaliyo ya msingi kabisa.....bila shaka zidumu fikra za mwenyekiti bado yaendelea kutamalaki katika vichwa vya watanzania.....

Lakini na waandishi wetu wa habari wamepotoka kiasi hiki?

Tumekuwa mazuzu kiasi hiki?
 
Uko sawa kabisa kaka, huo uhuru wanaosherehekea leo hii ni wa nchi gani?Tanganyiaka au Tanzania bara? They have to bring back our Tanganyika before we do that.Come on people!
 
Wahenga walisema, "mwamba Ngoma huvutia kwake" na pale mnapopiga makelele Wazanzibari tunaposema kuwa ZANZIBAR NI NCHI?

Nimefurahi kuwa mtowa mada katumia neno unafiki. Ama kwa hili la Muungano wenzetu sifa yenu ni hiyo, ni Wanafikiiiiiiiii!
 
Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014!

Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!

Historia ni historia....huwezi ukaibadilisha.....ukijaribu kuibadilisha unaharibu maana ya historia yenyewe

Tuache huu unafiki na tuwaonee huruma watoto wetu wanaojifunza historia na kuielewa vizuri nchi yao....ilikotoka na inakoelekea.

Hii hofu....hofu ya muungano.....

Hofu hii....sidhani kama itatufikisha mbali.

Tunashindwa hata kuhoji yaliyo ya msingi kabisa.....bila shaka zidumu fikra za mwenyekiti bado yaendelea kutamalaki katika vichwa vya watanzania.....

Lakini na waandishi wetu wa habari wamepotoka kiasi hiki?

Tumekuwa mazuzu kiasi hiki?

mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti hayo.

UWT wanaita Umoja wa Wanawake Tanzania wakati ukweli si hivyo.
 
hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
 
hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
 
Uko sawa kabisa kaka, huo uhuru wanaosherehekea leo hii ni wa nchi gani?Tanganyiaka au Tanzania bara? They have to bring back our Tanganyika before we do that.Come on people!
Katika uhalisia hakuna nchi inaitwa Tz bara,hiyo ni ya kufikirika.Znz + Tngk=TANZANIA.Hiyo Bara ilitoka wapi?
 
Back
Top Bottom