Recent content by MissyNana

  1. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Sad story ya Rah P

    Hata akirudi TZ haitakuwa kama zamani! Iliyobaki atafute kazi & arudi shule. Na wala asichague kazi gani hata ya kusafisha choo pouwa tu! Ila asitegemee kuwa music itampa kula US!!!
  2. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mkapa kwenye kashfa nyingine

    Ndio tabu ya wabongo ukisema kweli wanaona huna kazi....hao ni wanafiki wakubwa wamezoea kuona watu wanafagilia mafisadi na kupewa sifa za kijinga. Endelea kaka na kazi ya kuelimisha jamii na kuwafichua hao wanaokula jasho la wananchi.
  3. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe jamvini

    Karibu sana mpaka ndani!!!
  4. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    Hivi wewe ni binadaam? Kumbuka tunazungumzia mtu ambaye amefariki! Acheni kuhukumu watu mwacheni Mungu Muumba ndiye awahukumu. Mwacheni marehemu kama alikuwa na mambo ya ajabu ilikuwa wakati wa uhai sasa hayupo tena. Siku yake imefika, na kama zitakapofika za kwetu pia. Hatujui lini wapi wala...
  5. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Wabongo na majina ya mbele a.k.a unyamwezini

    Hayo majina yenyewe hayaendani na wenyewe nilikutana na moja eti Kim K wa bongo mwe! kwanini lakini? Mie naona ni ushamba tu...
  6. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Kepteni Komba ?

    Kama unene ni siha njema basi tena.....
  7. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kunyanyua matiti yaingia nchini

    Wajinga ndo waliwaoooooo!
  8. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo....Hapa umepitiliza !

    Halafu anasema "IN GOD WE TRUST" kweli????Huyu angesema "in money we trust" ni lazima pesa aipate kwa njia yoyote ile. Hafuati maadili ya uandishi kabisa. Ni kuharibia wau maisha yao tu.
  9. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Fideline Iranga amekuwaje?

    Kapendeza tuache kumponda na kusema kuwa eti ana ugonjwa; nyie manaosema anaumwa nyie wazima? kaamua kukonda ni maisha yake haina sababu ya kuanza kumchambua. Au mnasahau unene ni ugonjwa..ameamua kupnda afya yake....
  10. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata rais kama JK

    Upo serious au unatania...unaweza ukawa unatania. Kama ni mvua uongozi wa huyu ni Sunami na ni janga la taifa. Madhara yote yananaonekana...sihitaji kuorodhesha.Huyu hata kuwa mwenyekiti wa mtaa hakufaa... l
  11. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Oooh!! Sinta

    Heee! jamani vipodozi ka nini sijui mapaja nje...ni biashara ama!
  12. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    Kwa hiyo wote waliofeli waishtaki NECTA? AU KWA KUWA NI MTOTO WA RAISI? Hivi kumbe kuna sheria Tanzania? We ulioleta hii thread ni Rizi nini?
  13. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Kama unatenda mabaya yako usiandikwe kwani wewe nani bwana? Ukitenda mema utaandikwa kwa mema yako na ukitenda mabaya vile vile. Huyu mama anasahau kuwa kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake? Aende bungeni kutoa hoja za kuendeleza jamii, ana mambo mengi tu ambayo anahitaji kuwafanyia wananchi wake...
  14. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama beats Ellen DeGeneres at push-ups

    Wake wa viongozi wa kiafrika ni kula kulala na zaidi ya kuwashauri waume zao jinsi ya kula nchi...
  15. MissyNana

    JamiiForums Tanzania Maulid Baraka wa Kitenge

    Elimu ni muhimu kweli..msameheni hajijui...
Back
Top Bottom