Kulikoni Kepteni Komba ?

Hapa US tungempeleka BOOT CAMP kwa mu wa siku 90 angerudi mwebamba kama mlingoti

John Komba anahitaji msaaada wa haraka sivyo 2015 anaweza shindwa hata kupita kwa wananchi kuomba kura.

Pili unene huo unakufanya hata uwe fhaifu katika Majambozi
 
Bado sijaona msingi wa wasiwasi unaoonyeshwa na watu kwa Mhe. huyu. Mbona anaonekana kuwa na SIHA NJEMA TU.

Waswahili bwana, mtu akikonda watadai ana Ngwengwe. Akinenepa kosa Oooooh! kanenepa sana. Sasa mnataka mtu aweje?
 
does it mean huyu jamaa hajapata chakula cha kumfaa kabisa?huwezi niambi huyu jamaa alikuwa jeshini.Hata km alikuwa ktk idara ya kuburudisha wengine.Mh. halafu kwa mizungu na mihindi ya unene huu mingi huwa ina mambo mawili 1.Inaliwa(ina fight kuhalalisha sheria za kutumia kila tundu) 2. kupenda kula tuu msosi .Sijui bongo, au bado uchunguzi unaendelea.
 
Hata haya ni maradhi sio?

john-komba.jpg
...nadhani hata huyo anayewalipa hizo posho ana matatizo. Mtu kama huyu analipwa posho kwa kulala humo mjengoni? mbona wengi wangepatikana kama unalala then unalipwa?...hovyoooo:A S-frusty2:!:A S 13::A S 13:
 
CCM6.jpg


Ni uzushi mtupu...haumwi BP wala kisukari wala stroke..na mapigo yake ya moyo ni 120 kwa 60 yuko fiti....
 
Back
Top Bottom