Familia ya Mkapa kwenye kashfa nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia ya Mkapa kwenye kashfa nyingine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 18, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anna Mkapa bingwa wa kuchuma asipopanda aliyeiachia ikulu yetu uchafu wa ajabu unaoendelezwa na Salma Kikwete. Hivi karibuni mkaguzi mkuu wa fedha za serikali (CAG) alitoa taarifa ya ukaguzi wa fedha za serikali na kugundua madudu mengi mojawapo yakiwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na familia ya rais mstaafu Benjamin Mkapa.

  CAG ameonyesha wasiwasi mkubwa kwa uamuzi wa CHC wa kufuta madeni mengi ya iliyokuwa kampuni ya Simu 2000. Kampuni hiyo iliundwa na kuongozwa na familia ya Mama Anna Mkapa, kwa ajili ya kuuza zilizokuwa mali za Shirika la Posta na Simu. Kuna habari kwamba familia hiyo ilijitwalia mali kadhaa zenye thamani ya mabilioni ya shilingi.

  Miongoni mwa majengo yaliyouzwa ni maghorofa yaliyopo Ilala. Kwa wanaokumbuka Anna Mkapa alivyomchafua mumewe kwa kumfundisha wizi hawashangai. Huenda kuna mengi ambayo bado hayajulikani. Nani mara hii kasahau jinsi kaka zake Anna walivyopewa uuzaji wa iliyokuwa benki ya biashara (NBC) wakishilikiana na kampuni ya kijambazi ya Net Solution Group ya Afrika Kusini?

  Nani mara hii kasahau wizi ulioasisiwa na Anna wa kuunda NGO na kujitajirisha kupitia mgongo wa ikulu unaoendelezwa na Salma Kikwete? Nani mara hii kasahau ujambazi wa wazi wa Mkapa, familia yake, marafiki na vivyele wake uliohusisha kujitwalia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira? Je ni siku gani wezi hawa wenye madaraka watafikishwa mbele ya haki kabla ya kuonja mauti?
   
 2. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye bold, ipo siku hawa wote watafikishwa mbele ya haki, kama si hapa duniani basi hata mbele ya Mola watajibu mashtaka! Tena huko ndio kuzuri maana hakutakuwa na Wanamtandao, kujuana, Rais hatateua Jaji, yaani ni kukutana na "Jaji" usiyemtarajia wala kumjua! So, be patient... God is still at work!
   
 3. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,747
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 280
  Inatia uchungu watanganyika wezi sana!
  suluhisho ni kuwapa uongozi wazanzibar tu.
   
 4. m

  meemba Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa na wizi ni vitu ambavyo havitengani kamwe.
   
 5. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani kama alivyonena Dr Lyatonga Mrema. Nchi hii itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno.! Naye anyongwe hata kesho! nina hasira na huyu mama. ushauri wa Mhe Ally Kessy
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 12,949
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Acha Ujinga wewe.
   
 7. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,564
  Likes Received: 1,650
  Trophy Points: 280
  Weka thread ya baraza hapa mjadili na wenzako
   
 8. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi Mkuu wa PPF bw. William Erio Mkapa anafisidi PPF naye ni mpwa wa Benjamini William Mkapa. Hii mbegu ni mbaya mno kwa ufisadi. Kama hii mbegu ingekuwa punje za mahindi, ningezikaanga kwa moto mkali kabla ya kuzitupa jalalani ili zisije zikaota huko jalalani maana hata kuzila hazifai.

  Mungu wetu tunakuomba ushuke uishughulikie hii familia ili ikurudie na kutubu. Kama hawataki kutubu hizi dhambi zao, basi kwa kuwa ni viumbe wako "MAPENZI YAKO YATIMIE"
   
 9. a

  adobe JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,565
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  huna kazi
   
 10. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kazi ninayo tena kubwa tu. Mimi siendi kwenye internet cafe kubrowse bali ofisini kwangu kila nipatapo fursa namwaga vitu. Isitoshe kwa mtafiti kama mimi hii ni sehemu ya kazi yangu. Kwa hiyo adobe usiwe na shaka juu ya mke na watoto wangu watakula nini. Ukitaka kujua mie ni nani tembelea blog yangu utajua vizuri. Siandikii shida wala kukosa kazi.
   
 11. MissyNana

  MissyNana Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio tabu ya wabongo ukisema kweli wanaona huna kazi....hao ni wanafiki wakubwa wamezoea kuona watu wanafagilia mafisadi na kupewa sifa za kijinga. Endelea kaka na kazi ya kuelimisha jamii na kuwafichua hao wanaokula jasho la wananchi.
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wazanzibari? Mwinyi alitufanyaje alipokuwa Ikulu? Hussein katajirikaje na ndugu zake wengine kama siyo kufisidi hii nchi?
  Wazanzibari? Hapana. Tuwachukulie hatua mafisadi wote kuanzia Mwinyi, mkewe na wanae na wote bara, akiwemo Mkapa, mkewe na Kikwete, mkewe na wanae.
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Ashakum si matusi! Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto wa Kimasai anabaki mmasai. Kamwe simba hawezi kumzaa kondoo. Nzee Nkapa ni victim na anajutia kwa yanayomsibu.

  Kitu kingine Nzee Nkapa utamaduni wa kwao wa Matrinia ndio uliomponza badala yake angejifunza mfumo wa patrinia ambao ndio alikokulia mkewe. Kwa vyo vyote yanayojilia katika familia ya Nzee Nkapa kwa jicho la upembuzi ni mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata umvishe nguo ataichubua atakapojichubua ngozi yake.
   
 14. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,415
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Word up Mpayukaji! But sometimes you need to be careful about that weed stuff and all before decidng to go online with your "elevated state of mind" and shit, maana kuna wakati mwingine you seem to be so carried away in your zeal against the powers that be, and ultimately end up not making much sense at all. Ya dig?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  NOW it is a time for street justice, wakipita uswazi ni kuwatukana na kuwapopoa kwa mawe kama Vasco da Gama baba Mwanaasha alivyofanywa Chunya Mbeya. Mahakama zinawaogopa sana mafisadi
   
 16. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndjabu umenionea na unapaswa kuniomba radhi kabla sijamwambia mod akupige pini.
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  low thinking capacity at work.
   
 18. s

  sanjo JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 939
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Je Wazanzibari wakigeuka kuwa mafisadi wa kutupwa tutafanyaje? Suala ni kuwa na viongozi walio na uchungu na nchi hii.
   
 19. M

  Mwonambali Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sexon2000 mchango wako umenichekesha sana. Ila huo ndio ukweli
   
 20. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hii mkuu,,,namalizia na ''...amen'''''
   
Loading...