Wabongo na majina ya mbele a.k.a unyamwezini

Ni miongoni mw v2 ninavyovchukia sana,unakuta m2 kajiita Obama wakat hata darasa la saba hakumaliza au Rihanna wkt mweusi tii zaid ya mkaa! Washndwe na walegee!

Je mtu anayeitwa Bob Johnson na huku yeye ni Mrangi....nayo inakuchukiza?
 
Amber Rose Original mrembo sana..
Ila si njema kujiita jina la mastar ..
..hawajui kama wakifanya vizuri katika sekta walizopo watatoka tu na majina yao ya kina Jacline Wolper ,Sinta nk nk
 
Amber Rose Original mrembo sana..
Ila si njema kujiita jina la mastar ..
..hawajui kama wakifanya vizuri katika sekta walizopo watatoka tu na majina yao ya kina Jacline Wolper ,Sinta nk nk

Jacline Wolper ni Mtanzania?
 
Duuh! Sasa mbona hatumiagi hiyo Masawe?
masawe halilipi stejini......
wolperachunguliwa.jpg

angalia akijiacghia kuchunguliwa sehemu zake za wazi(sio za siri tena) na dj cleo wa SA...
 
mimi naona sio tatizo waachwe wajiite wapendavyo. afterall JF most members wapo kama hao majina mnayotumia hapa mengi ni fake!!! fake from china, fake from usa , fake from mbagala au nachingwea yote ni FAKE. acheni kua cyberbullies wote mna identity issues!!!! kwanini hamtumii majina yenu????
 
Hayo majina yenyewe hayaendani na wenyewe nilikutana na moja eti Kim K wa bongo mwe! kwanini lakini? Mie naona ni ushamba tu...
 
mimi naona sio tatizo waachwe wajiite wapendavyo. afterall JF most members wapo kama hao majina mnayotumia hapa mengi ni fake!!! fake from china, fake from usa , fake from mbagala au nachingwea yote ni FAKE. acheni kua cyberbullies wote mna identity issues!!!! kwanini hamtumii majina yenu????

Wengi humu ni hao hao wa kijificha nyuma ya umaarufu usiohusiana nao. na kutojiamini kwa walivyo na majina yao.
 
Huo ndio ujinga wenyewe, kama wao wanawake wa kweli kwanini haupaizii jina lako. I want to be known as MadameX utake usitakee I have my own swaga which is unique.
hahaha madameX swaga unique avata copirite ya supa staaX why not avataX which is unique. still u're like all those.
 
Back
Top Bottom