Recent content by miss esterosey

  1. miss esterosey

    Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba

    siasa mbaya sana, inachafua majina ya watu hatar sijui musiba ataacha lini hizi drama zake. kwa nini ccm wasimchukulie hatua kwa sababu naona anataka kuingiza watu kwenye game zake mbaya
  2. miss esterosey

    Moyo wa huyu mzee umenidondokea

    usitangulize pesa mbele, uyo ni zaidi au ni kama babu yako. kuwa na utu na adabu, pesa zitatupeleka moton mabinti. fanya kaz upate pesa zako kwa nini uumize mwili wako kulala na babu yako? huoni kama ni laana tu hiyo
  3. miss esterosey

    Rais Magufuli; "Umesema Ukienda Tutashida! Haya Nenda Misri'

    hahaaaaaa sasa si bora angebaki tu hapa, ela zinapotea bure wallah tunaoteseka ni sisi wanachi
  4. miss esterosey

    Vijana wa Hong Kong ni balaa

    kila siku nasemaga, vijana tunakwama wapi?
  5. miss esterosey

    Wanawake ambao siwezi kutoka(date) nao hata kwa bunduki

    yani wewe hakuna cha maana ulicho ongea hapo, na hujawah penda au kupendwa
  6. miss esterosey

    Sijawai kujutia kuishi ughaibuni!!!!!

    nimekuelewa sana yani wewe una nia na unajiongeza siyo sawa na wale wanaoenda kurandaranda huko. nahitaji feedback zaid
  7. miss esterosey

    Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

    kila mtu afanye anachopenda, mimba inatafutwa kwa tabu wengine kupata si leo , acha mtu apige picha anavyojiskia kama akipost public anapata amani au kwake haina shida mwache, kila mtu ana life style yake bhn si kila kitu mnaleta tamaduni za kiafrika basi hata kutumia smart phones cyo tamadun...
  8. miss esterosey

    Wapenzi wa reggae mkuje hapa

    Is This Love Bob Marley, Bob Marley and the Wailers I want to love you, and treat you right I want to love you, every day and every night We'll be together, with a roof right over our heads We'll share the shelter, of my single bed We'll share the same room, yeah! For Jah provide the bread Is...
  9. miss esterosey

    Spika mstaafu Pius Msekwa aungana na Ndugai, Kuhusu Lissu kuvuliwa ubunge

    viongoz wastaafu na waliopo madarakani mbona kipindi cha kupigwa risasi hamkuongea hiv? hakuna hata aliye mtetea wala kumonea huruma yan kama siyo Mungu Lissu angekuwa ni marehemu sasa, sasahiv kila mtu anampiga mawe lissu baada ya kuvuliwa ubunge loh? hii ndo TZ
  10. miss esterosey

    Wapenzi wa reggae mkuje hapa

    wow naupenda pia unakukumbusha nini huuu hahaaaaaaaa
  11. miss esterosey

    Wapenzi wa reggae mkuje hapa

    Je, ni ngoma gani ya Bob Marley ambayo hadi leo ukiisikiliza unaona kama wimbo mpya kwenye masikio yako?
  12. miss esterosey

    Utunzaji wa nywele za asili

    Tumia Asali katika Urembo wa Nywele na Ngozi yako Asali hutumika kulainisha Ngozi Asali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mwenye ngozi kavu. Jinsi ya kuandaa Chukua asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha paka usoni...
Back
Top Bottom