Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Anza wewe kuandamana
Acha kuongea ujinga sasa
PUMBA!
Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Weka mchele wako hapa tuuone. Usiseme pumba wakati hujui mbadala wake.
utajijuuu
Nakumbuka bibi mmoja kipindi kile cha uchaguzi wa kikwete awamu yake ya mwisho aliwai kujisemea kuwa Tanzania watu wanavumilia hakuna amani yoyote watu wana maumivu ya moyoni na ogopa sana siku mioyo yao ikilipuka mtiti wa sudani na somalia sidhani kama utaingia
Achana na hayo maandamano hivi watanzania wana kitu gani cha maana walichoweza kufanya katika kuonesha wanachukizwa na baadhi ya mambo ambayo si sawa yenye kuendelea hapa nchini? Zaidi ya kuishia kulalamika tu mitandaoni basi hakuna chengine,yani wenyewe wanachokiweza ni kuja tu humu na kuanza kuisema ccm hivi mara vile basi usiku ukiingia wanaenda kulala.NDUGU, KWA WATANZANIA SIO SWALA LA UWOGA, NAHISI WENGI WETU TUNAJUA THAMANI YA AMANI NA UTULIVU. UKITEMBELEA MATAIFA YENYE UBISHI NA MALUMBANO YANAYOZALISHA MACHAFUKO MARA KWA MARA NDIO UTAPATA PICHA HALISI YA KWANINI TUNAJIPENDA ZAIDI KUTOSHIRIKI VURUGU AU UZOZANO USIOKUWA NA MAANA NA VIONGOZI WETU PANDE ZOTE KISIASA, KIDINI N.K NAO WAKO MSTARI WA MBELE KUTOTUFIKISHA HUKO.
Hivi wewe hapo kwa sasa una shida gani ambayo inakupasa kuandamana?
Embu itaje walau moja tu!
Any way shida zipo hata kama mimi sina lakini kuna watanzania wengi wana shida lakini tatizo linakuja pale unapotaka kudai haki yako dola yetu baada ya kutoa support ila itakuwa mstari wa mbele kuku attack tofauti na wenzetu huko ulaya mtu anapodai haki yake ulindwa na iyo iyo dola
Embu weka werevu wako hapa tuuone
Kumbe huna tatizo na nchi yako.
Zaidi una ya kusikia tu kwa watu.
Ni uoga tu mbona humu kwenye mitandao tunaona hisia zao na uelewa wao wa haki zao,tatizo hayo yote yanaishia mitandaoni tu.Awareness ya vijana wa Mji uliondelea kama Hong Kong huwezi linganisha na sisi. Wenzetu wamejengwa kwa msingi wa kutambua haki zao kama raia pamoja na wajibu wa viongozi wanaowaongoza.
Ndio maana hawasiti kujitokeaza kwa wingi kuonyesha hisia zao pale viongozi wakienda kinyume na matakwa ya wananchi walio wengi.
kila siku nasemaga, vijana tunakwama wapi?Kama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na maamuzi yanayokuwa yakitolewa na Bunge hilo! Sasa najiuliza hivi Tanzania na hawa vijana wetu wanaoshinda kutwa kucha kugombea Likes na Followers Instagramu na kupiga umbea usio na manufaa wana uwezo wa kufanya mtiti kama huo??
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.
Nawasilisha!View attachment 1144132View attachment 1144133View attachment 1144134
Kama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na maamuzi yanayokuwa yakitolewa na Bunge hilo! Sasa najiuliza hivi Tanzania na hawa vijana wetu wanaoshinda kutwa kucha kugombea Likes na Followers Instagramu na kupiga umbea usio na manufaa wana uwezo wa kufanya mtiti kama huo??
Hapa najifunza kuwa Mabadiliko yanaweza kuletwa na Vijana na sio Wazee tuliowazoea kutupelekesha.
Nawasilisha!View attachment 1144132View attachment 1144133View attachment 1144134
Tuvumiliane kabisa, maana mambo ni mengi muda ni mchache TUVUMILIANE SANA.Kweli ndugu, TZ hatuna shida kabisaa. Ndiyo maana tu watulivu kwa kuwa serikali yetu sikivu inatutimizia kila kila kitu. Asieee!
yatafananaje akati wao wako mashariki ya mbali na wakina sie tuko gizani huku. Loh! Inatia uchungu.
ni kweli nchi yetu ina amani tele ya kutosha, na ndiyo maana watu hawatekwi hovyo, hawajajazwa hofu ya kujadili kwa utashi wao, umaskini hakuna tofauti na wao wenye umaskini uliokubuhu na kupelekea kukosa amani ya lishe ya uhakika.
hakuna unachokipata zaidi ya kuambulia maumivu ya mabovu ya machozi na upotevu wa mda tu. Yaani ni upuuzi tu kuaandamana, pia hata yule aliyesema "no pain no gain" naye ni mpuuzi tu.
ni kweli wale wanashida kweli kweli, ndiyo maana wanaonekana kama matahila wanavyoandamana sababu ya shida za serikali zao. Lakini nchii yetu iko shwari kweli kweli, nchi yetu ni donor country kila mwananchi ni tajiri. Sasa tunatembea kifua mbele bila shida yeyote hadi mabeberu wantuonea gere. So sad!
Kwani hujauona??