Recent content by miss 999

  1. miss 999

    Eti wanataka mahari ya Tshs. 2,000,000... kipindi hiki cha Magu...

    Afu mahal huwa haimalizwi coz Hata mim mume wangu kapigwa million 2 na laki nne plus mavitu kibao Ila katoa nusu tu ya hiy na wakapokea
  2. miss 999

    Utumbuaji wafanyakazi 10000 kumzamisha Magufuli 2020

    Usisahau kwamba watakao cover hizo nafasi watamchagua
  3. miss 999

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Hero ni magu tu ambaye pamoja na kelele za mangi na watanzania wote tuliopo nchini tumefua dafu.
  4. miss 999

    SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

    Hahahaha duuh kwel wanaume Wa dar
  5. miss 999

    Hivi tatizo la 'kunatana' wakati wa kufanya mapenzi linasababishwa na nini?

    Hahahahaha yaani umenifanya nianze siku yangu kwa kucheka kweli yaani
  6. miss 999

    Watanzania, Mwaka 2020 Tusiendelee Kumjaribu Mungu!

    Too bad kwa sababu watanzania ni wasahaulifu na atashinda kwa kishindo kikubwa kuliko hata mtakavyofikiria
  7. miss 999

    Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

    Hahahahaha wew mbonaunamtia mwenzio mihasir hahaha jaman
  8. miss 999

    Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

    Inawezekan alikuwa anasoma QT wale wakusoma two in one huwa ni wakubwa pia
  9. miss 999

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Nadhan waliipiga marufuku video bana ndo ilikuwa mbay hata kwa watoto
  10. miss 999

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Hahahaahah yani umenichekesha ulivyosema ccm saiv wanadeka duuh si wanababa yao asiyeshindwa kamweeh
  11. miss 999

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Lakina barua inasema mabadiliko na sio kumfukuza nape. Hawez kimfukuza atampa kitu kingine cha kufanya
  12. miss 999

    Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

    Too bad kwa sababu inawezeka 75% wakawa wanamkubal maguful na makonda kuliko unavyofikiria ila ukiwa kweny social network hiz inaendana na mziki unaopigwa ili kujiepusha na kelel
  13. miss 999

    Bunge likinyamaza nchi itaenda harijojo

    Sio tu uoga kiongoz ukifikiria watoto uliowaacha nyumban na familia kwa ujumla huwezi jiingiz kweny hiv vitu vya kugoma hovyo.
  14. miss 999

    Tanzania yakubali kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia upungufu wa Madaktari

    Source ya hii information mnisaidie
  15. miss 999

    Lady Jay Dee ameachwa na Mnigeria?

    Kwanin mnapenda kuamin kwamb kila asiyezaa kachomoa sana wengine ndo wapohivy tu bila hata kuchomoa
Back
Top Bottom