SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,685
40,063
Habarini wadau na heri ya pasaka kwenu.

KWAKWELI Nimeshangazwa na habari mbili leo hii zilizonifanya nije kuuliza hili swali kuwa "WANAUME WA DAR" wana utofauti gani na wa mikoani?

Ninaishi mkoani, asubuhi ya leo nikiwa na washkaji wa Car Wash center flan nimesikia mtu akimwambia mwenzie wewe mwanaume wa Dar tu wa kuvaa mnyonyo (sijui ni nini) na kunyoa kiduku huna kingine cha kiume.

Halafu kali zaidi, ni kuna thread imeanzishwa na katika maelezo kuna msisitizo hapa

Kuliko afe Mange Kimambi ni bora wafe wanaume wa Dar Million 1. .

Sasa, yaani hao wanaume wa Dar ni hawana thamani kabisa kiasi hicho au ulikuwa ni utani tu?
 
Alafu mwisho wa siku wanakuja kuanza kulalamika eti.... Ohhh sina nguvu za kufanya heshima ndani..... Mara.... Ohhh natafuta dawa za kuongeza nguvu za sijui ninini..
Watazipata wapi mkuuu?? Kwani kule kwetu kusini tandamiti ,kiboroshule unyanyembe pinda mpaka koromije zunguka mpaka kaskazini magharibi na mashariki ushawai kikutana na vibao kama navyoviskia kwao...mara bibi kidawa mtaalamu njoo ujipatie dawa "nguvu za kiume "??
 
Back
Top Bottom