Recent content by MISMESA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simuelewi my X anataka nini!!!!!

    pole sana ndugu yangu jaribu kuongea na x wako vizuri ili umwambie aachane na mdogo wako afanye maisha yake hy sio tabia nzuri anayofanya huyo mdada hata kidogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

    betrayal in the city,three suitors one husband,things fall apart
  3. M

    JamiiForums Tanzania tiGo is listening

    hata mimi nakuunga mkono asilimia 100 tigo ni wezi na hawawajali wateja wao hata kidogo wanaringa cos wana wateja wengi lakini hawajui kwamba tunaweza kuhama na kuwaachhia kampuni yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madada zangu wa kibongo..naomba nioe mmoja wenu.

    Vocha sio tatizo atoe 2 namb za cmu 2mtafute jamani wengine tunatamani kuolewa ila ha2wapati wa ku2oa maana nasi 2shadanganya kama yeye nw twatfuta true love
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madada zangu wa kibongo..naomba nioe mmoja wenu.

    mbona hujatoa namb ya cmu 2takutafutaje sasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Mhhhh makubwaaaaaaaaaaaaa..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Re: Blandina nyoni-katibu mkuu afya-ndio maana baba yangu alinikataza kusomea udaktari

    unajua ndugu hizi post za kupewa pewa eti kisa katibu mkuu tunatoka sehemu moja,mara ooh bwanako this things is stupidity ndio maana mtu anaropoka anavyojisikia baada ya kuwapa moyo ndio anazidi kuwafanya warudi nyuma hii nchi tusipoangalia uswahiba unatumaliza ndugu zangu kama yeye hasalimiani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    yaani jamani twende mbele turudi nyuma hata kama mzee upara ana mabaya yake alofanya lakini ana mengi aliyofanya ambayo yanatufanya tumkumbuke tofauti na huyu swahiba anayejua kulipa visasi kwa wote waliopita njia zake baada ya kufikikiria afan yaje aiondoe nchi kwenye criss tuliyonayo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Looking for wife to be

    Kwa nini unasema mod yupo likizo jamani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Looking for wife to be

    Maelezo yako mafupi sana jieleze ili watu wakuelewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Looking for wife to be

    Ok so unataka mke mwenye sifa gani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wasichana Punguzeni Kucha

    yaani mi mwenyewe huwa nachukia sana haya makucha yakrafiki zetu mwenyewe huwa najiuliza tena wengine wanaenda kabisa na kubandika hata aibu hawaoni
Back
Top Bottom