Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

Jamani hawa ni utoto tu unawasumbua,wanaitaji wapewe mawaidha ya kuwasaidia ya kuwasaidia .Maisha hayarudi nyuma na watu watawachoka kila siku Wema Wema kwani hatuna kitu cha maendeleo cha kufanya
 
datz great huyu dem jini mahaba sema this time kakukatana Baba Askofu
 
Wema alipoambiwa na DJ Fetty kuwa "Kupitia BB, Diamond amethibitisha kuwa ulienda kwao" uso ulimchupa. DJ Fetty akaamua kuipotezea tu....(chanzo: YouTube)
 
hawa watoto wote wamenichosha hawana adabu..huyu anasema hili ,mwingine anasema vile ... ukiangalia kwa umakini wote wana matatizo...

Yeah_ila Diamond sasa kakua,....safi saaaaana dogo....thats how we do dogo...huo ndio uanaume sasa.
 
Huyu dada mjinga kweli, yaani anautafuta u-superstar kwa nguvu hivyo?
 
mhuuu!! Kumbe mnalipa pesa ili muandikwe kwenye magazeti halafu baadae mnaanza kulalamika mnachafuliwa kumbe uongo mtupu...kumbe stori zote huwa za kupikwa ama kweli umaarufu hauji bure.!
 
Enzi zetu miaka ya 80s mdada kama wema tulikuwa tunamuita "Fox" au "Jamvi la wageni"

Haaaaaaaa Muke ya muarabu blogu yako inaitwaje? Kweli FOX ni m/ke mala** miaka hiyo ya 80's na 90's kweusi! Diaomond nimemkubali kwa msimamo wake safi sana hawa mademu wanatuchezea akili sana,Diamond kaza usimpe nafasi huyu mtu komaa atakuja kukuua na miwaya maana pale ikulu wengi wameumia(Ni kweli wameumia na si blah blah).
 
kama ni kweli, basi wema atakua ana maradhi ya kupenda. kama hutakiwi si ajifunze kuishi bila hicho kibwana. Kibwana chenyewe kipi basi jamani, hata mkononi hakijai! kweli mapenzi upofu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom