Recent content by Misana

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wapendwa si mimi ni ...

    Mara nyingi ili mtu aache pombe lazima imuadhiri na kumuabisha, kuna jamaa angu alikunywa akalewa kupindukia huko zanzibar vijana wa kihuni wakamvunjia mayai mat***ni kuanzia siku hiyo bia anaziona kituo cha polisi. Alisha acha siku hizi anakunywa fanta orange
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ushauri wapendwa si mimi ni ...

    FL1 ukienda kusoma urusi utakuwa unapiga mswaki na Vodka. Huyo alieolewa na huyo jamaa wa urusi hapo ni bora afungashe maana hataweza kuwa mtumwa wa ndoa. sometimes you need to set your love free rather kuteseka kwenye ndoa kama hizo. Achane na huyo fisadi kwenye ndoa huo ndo ushauri wangu. Mi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SIMBA - Sitamuonea haya fisadi hata aje na bilioni

    Yaani katika mawaziri waliofilisika kisera ambao sijui kwanini rais hawashushi ni huyu Sophia Simba, hivi hana uhusiano na yule Iddi?? maana Simba wamezidi sasa kutajwa kwenye ufisadi (Nicol)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani alifanya "Due Diligence" ya Dowans?

    Richmond imeshamweka pabaya JK, yaani sijui ni mwananchi yupi hajui hili sakata la Richmond labda watetezi waliobaki ni wale ndugu zangu wa Monduli waliowapokea victims wa Richmind kama mashujaa
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Confession

    GP bora ubadilishe tabia yako kimya kimya kuna jamaa angu alijidai kuconfess mama huyoo akafungasha, we kaa kimya kama ulivyokuwa unakula kimya kimya. Nakuhakikishia kwa asilimia zaidi ya 80% itakuwa noma. Japo mi mgeni kidogo kwenye JF
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nipate ukimwi kuliko kuniambia una mimba yangu

    Huyo jamaa ni fisadi wa ngono tu kwa rafiki yako, mwambie amuepuke kama ukoma maana ataweza kumsababishia shida nyingine mwishowe uzae kitoto taahira sababu ya msongo wa mawazo. Kaa nae mbali ulee mimba uzae na mje kuendelea na maisha na mtoto wako tena mzuri kuliko. Siku moja atakuja kumtafuta...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Director's speech

    Wengine hapo walidhani wanasikiliza promosheni maana siku hizi zero brain wako kibao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Malizia sentensi hii uonavyo...

    tukakaa
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania swala la mpira kwenye ndoa.

    Haki mi siwezi kutumia njia hii hata waf hazipendi. Kwa kuwa tunajua njia zipo nyingi na salama. Raha ya shokishoki ni nyama peke yake. Kwa wenye ndoa na walio waaminifu tu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ingekuwa wewe ungefanyaje?

    BUCHANAN - Ni kweli hata takwimu kutoka kwenye kifaa pale muhimbili asilia 47% kati ya 100% ni wanaume wanalea watoto wasio wao, ambao wengi wapo kwenye ndoa. Kaka aliebakwa - abaki na msimamo wala asimuoe huyo jini. Mchumba - aache ujinga na ang'ang'anie kwa jamaa ukimkosa hutakaa umpate...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyamaza pia ni dawa...!

    Msindima - i bet its true
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu.

    to hell with him. na bado angemuotesha na matiti kabisa huyu. I have this type of people. Shauri yake wala sima cha kushauri hapa
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My wife hates my ndugus (bro's and sis's)

    Haya mambo yapo sana katika familia nyingi za kiafrika esp Tanzania hii hii, na sijui kwa nini. Ishi kwa akili kwa vile umeshaliona hilo, wasaidie kwa kuleee kama alivyosema MASANJA, yaani kwa remote.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari hii inaniuma sana

    Musiba umefanya nini? ona sasa dunia nzima inakuelekezea vidole. Haikumstahili adhabu kama hii dada huyu. Inaniuma sana kwani inaonyesha humumpenda kwa dhati mpaka ukatenda hilo. Dunia nzima itabaki inakushangaa daima dumu. Mungu amrehemu BERTHA
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania She is having my baby, I can't get married to her!

    Yaani katika kitu ambacho sipendagi kukisikia ni kitu kama hiki cha kwako Geoff. Hebu imagine huyo dada angekuwa dada ako au mdogo wako wa kike ungejiskiaje. Huyo dada anakupenda ndio maana amekuwekea ngumu mpaka kichwa kinakuuma. Nampa huyo mchumba wako tahadhari manake nae akishika mimba yako...
Back
Top Bottom