fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
hivi niulize wanandoa,je? ni poa kutumia mpira kama njia ya kupanga uzazi? kwani siku hizi si ya kiume tu hata ya kike ipo.
Kwangu mimi ni bora kwa wanandoa kutumia mpira (kondom) ktk kupanga uzazi kuliko kutumia hizo njia zingine kama vidonge, sindano n.k kwa sababu zina madhara kiafya kwa akinamama, japo wanaume wachache wanalalamika pia kuwa kondom zinawawasha, but uzuri ni kwamba kuna kondom za kike ambazo hazina effect yeyote kwa mtumiaji
Oh yeah...hakuna ubaya wowote. Tena kwa mtazamo wangu ni bora zaidi kwa sababu kama mmoja wenu ana stray na kumegwa ama kumega pembeni angalau inapunguza uwezekano wa wewe au yeye kuambukizwa migonjwa ya zinaa na pengine hata li "bug"....
Yes i agree with you DMusa but the challenge is most men na hasa wale wasio na knowledge na elimu ya afya wanakuwa wagumu kuelewa kuhusu matumizi ya condom wakati wa siku za hatari ,ndio maana utakuta wanawake wengi wanopt kutumia other means of birth control coz their partners seem not to care about it, nadhani kuna haja hasa ya elimu hiii kuwafikia wanaume na kujua umuhimu wa matumizi ya condom kama birth control kwasababu hazina side effect kwenye mwili wa mwanamke kama hizo njia zingine za uzazi wa mpango zilivyo.Sidhani kama kwenye ndoa wanandoa wanajikinga na maambukizi cos as far as i know the condoms will only be used during the DANGER days, so the use of condoms sana sana katika ndoa ni kuzuia mimba zisizotegemewa!!!
I think for birth control the use of condoms is the best option since no drugs/chemicals involved. But before it should be agreed upon by the couples....