Recent content by Mipango miji

  1. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    I second this. Tuna wachezaji wazuri sana ukilinganisha na wakati wa Wenger, lakini ndio hamna kitu.
  2. M

    CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

    Hivi huyu beki aliegeuzwa kama chapati anaitwa nani....
  3. M

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Binafsi yangu kati ya hiyo miji ningechagua Njombe. Watu wanadhani njombe ni mbao ambazo kimsingi wana supply East Africa yote mpaka Sudan kusini. Njombe INA supply viazi mviringo, inatoa parachichi nyingi nje ya nchi kuliko, thamani ya ardhi njombe ni kubwa kuliko kahama. Watu wa njombe ni...
  4. M

    Naombeni ushauri na tiba: Kifua kinabana sana wakati wa kulala

    Dodoma kuna Dispensary moja ipo Majengo Sokoni, ni ya Wachina wanatibu vizuri sana. Kuna ndugu yangu alikuwa anasumbuliwa na tatizo kama lako, wana mashine nyingi za kutafuta tatizo na hatimaye kulitibu
  5. M

    IQ ya Nyerere ilikuwa kubwa sana: Debate kati ya Nyerere na mke wa Rais Roosevelt

    Nyerere ameachia madaraka miaka 34 iliyopita, kwann mmeshindwa kuendelea kama yeye ndio kikwazo. Alikabidhiwa nchi ikiwa na magonjwa lukuki, engineers wawili tu, miundombinu hakuna. Amejenga nchi na umoja wa kitaifa Leo hii unasemaje wewe? Utapigwa mawe hadharani
  6. M

    Kasulu Mjini iko vipi kiuchumi na kimiundombinu?

    Pole sana, watu wa ardhi Morogoro mmpelekwa maeneo ambayo kwa nchi yetu ni reject. Sijui mmemkosea nini lukuvi
  7. M

    Ahsanteni Kimbinyikyo International Coach Dar-Dodoma

    Utumwa huo, Umekaririshwa asili zetu hazina vitu vizuri.
  8. M

    Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

    PNC Hotel, Apple Lodge, Zwangendaba Nkosi, Hunt Club na Heritage Cottage
  9. M

    Hongera Rais kwa hili la kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nakuunga mkono 100%

    Tatizo hujui unachozungumza unaongea porojo tu. Unajua Ikulu ya Dodoma inajengwa na nani sasa hivi? Mbaya zaidi wamekariri bandari tu, wakati mradi una package nyingi tofauti tofauti. Pia Ni China na Oman, usimtusi mchina peke yake
  10. M

    Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

    Hahahahah, nae yeye anaomba za matumizi...
  11. M

    Nyerere alitamka haya

    Nyerere aliwahi kusema,Watu hawapelekewi maendeleo, maendeleo wanajitafutia wenyewe. Nyerere ameletaje huo umaskini? Ulitaka nani awe rais wa kwanza kipindi hicho nchi inapata Uhuru ilikua na Mainjinia wawili tu.
  12. M

    Nyerere alitamka haya

    Unataka tumsifie nani? Tatizo unaweza kuwa hujui hata kaifanyia nn nchi ndio maana unaona watu wanamsifia bure.
  13. M

    Nyerere alitamka haya

    Wachaga kuweni na huruma jamani Khan! Hivi kuna kabila lililofaidi nchi hii kuliko nyinyi. Lami mpaka migombani, maji, umeme n.k Hivi watu wa Nkasi Sumbawanga au Mbinga huko Ruvuma wasemaje?
Back
Top Bottom