Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Namtakia Unai maisha mema yenye Baraka ndani ya Arsenali,Wenger alipewa miaka 20 akavuna EPL 3 huyu apewe 20 atavuna tu kwani kaua kicheche mpaka apate mkosi wa kuchukiwa hivyo misimu miwili tu?Apewe mda mashabiki wenzangu Arsenali tuendelee na uvumilivu tulivumilia kwa Wenger Unai ni nani tumvumilie.Nawatakia vipigo na vidroo vyema.
Naunga mkono hoja kwa moyo mweupe
 
Ana EUROPA LEAGUE tatu tena back to back moja akamzibua Klopp mpaka yule mjerumani akalia kama mtoto mdogo.

Ametwaa League one unapata wapi ujasiri wa kusema hajawahi kuwa kocha ?

Epl ni league ngumu sana kuliko league zote ndiyo maana makocha wengi wenye profile kubwa tu huwa wanasanda.
Arsene Wenger
Raul Sanchez
Rafael Benitez
Juan De Ramos
Luis Felipe Scolari
Luis Van Gaal
Gerald Houllier
Gus Hidink
Sven Goran Erikson

Orodha ni ndefu sana msimuonee Unai Emery kwa udhaifu wa mentality ya club yenu.
Unai Emery hajawahi kuwa kocha, labda kuanzia sasa akifukuzwa Arsenal anaweza akawa kocha mzuri, atakuwa kajifunza mengi sana kuhusu ukocha unataka nini ,Asante sana EPL inawafunza wengi mpira.

kaimanage Psg kwenye ligi ya mbuzi na ina wachezaji wengi wazuri wa level ya kidunia huku opponents wake ni Dijon,Metz,Nantes ... na yeye eti akajiita kocha, kumbe kichwani mweupe kuliko Mwinyi Zahera.
 
“1 shot on target tonight!! 2 wins in 10 in the league,"
"No definitive style or plan. Negative goal difference. No improvement in the defence. Not creating anything. Why would Laca or Auba renew? Can't blame them!

"We have to make the tough decision Arsenal! It's not getting better!”.....Ian Wright
 
Ana EUROPA LEAGUE tatu tena back to back moja akamzibua Klopp mpaka yule mjerumani akalia kama mtoto mdogo.

Ametwaa League one unapata wapi ujasiri wa kusema hajawahi kuwa kocha ?

Epl ni league ngumu sana kuliko league zote ndiyo maana makocha wengi wenye profile kubwa tu huwa wanasanda.
Arsene Wenger
Raul Sanchez
Rafael Benitez
Juan De Ramos
Luis Felipe Scolari
Luis Van Gaal
Gerald Houllier
Gus Hidink
Sven Goran Erikson

Orodha ni ndefu sana msimuonee Unai Emery kwa udhaifu wa mentality ya club yenu.
Nakazia Carlo Anceloti naye ni kocha mwenye CV kubwa sana kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE 3 kwa nchi mbili tofauti na vya ligi kuu vya nchi mbali mbali lakini alipokuja EPL chini ya CHELSEA FC, aliboronga sana hadi akatimkia Real Madrid FC.
 
Sasa wanataka EMERY aondoke ili washuke zaidi ?
Maana toka 2003 hawajahi kuwa na mategemeo ya ubingwa, sasa wanataka emery apiganie nini wakati wenyewe ni washiriki wa league tu kama Watford ?
Anapigania topten
 
EPL ni league yenye pressure kubwa sana Pep mwenyewe huwa hana uhakika wa kushinda game hata kama anacheza na timu ya championship
Nakazia Carlo Anceloti naye ni kocha mwenye CV kubwa sana kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE 3 kwa nchi mbili tofauti na vya ligi kuu vya nchi mbali mbali lakini alipokuja EPL chini ya CHELSEA FC, aliboronga sana hadi akatimkia Real Madrid FC.
 
IMG-20191110-WA0005.jpeg
 
Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao

Kwa taarifa yako yule mzee kashindwa kupanga kikosi

Ukilinganisha na misimu miwili nyuma au mitatu kwa sasa arsenal ina kikosi kizuri sana

Tena ina kikosi cha ushindani shinda ni technical za mwalimu

Kingine ukiachana na liverpool na man city hakuna timu nyingine yenye forward kama arsenal.
 
Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao
Kwanza sisi mashabiki wa team nyingine tunampenda Unai hana tatizo kabisa ,watu walilialia Ozil acheze akamchezesha wakafungwa kabisa ,mashabiki wa arsenal wanampa wakati mgumu kocha bora kabisa Europa 3,ligue 1 kibao ....
 
Ana EUROPA LEAGUE tatu tena back to back moja akamzibua Klopp mpaka yule mjerumani akalia kama mtoto mdogo.

Ametwaa League one unapata wapi ujasiri wa kusema hajawahi kuwa kocha ?

Epl ni league ngumu sana kuliko league zote ndiyo maana makocha wengi wenye profile kubwa tu huwa wanasanda.
Arsene Wenger
Raul Sanchez
Rafael Benitez
Juan De Ramos
Luis Felipe Scolari
Luis Van Gaal
Gerald Houllier
Gus Hidink
Sven Goran Erikson

Orodha ni ndefu sana msimuonee Unai Emery kwa udhaifu wa mentality ya club yenu.
Hujui unachokisimamia.

Laurent Branc pale PSG kwani hakuchukua hizo ligue 1 ?? sasa yeye alifanya nini kuonesha ni Upgrade ya brac baada ya kupewa kazi pale?? Au na PSG hawakuwa na best players??

Wenger kafukuzwa Arsenal kwasababu ipi ?...yeye unai kafanya nini kuonesha utofauti wake na Wenger?

Europa hata kocha aliyekuwa kilaza wa mafanikio sarri kabeba tena mbele yake.Eti alimfunga klopp?? si amfunge na sasa hivi
 
Kwa taarifa yako yule mzee kashindwa kupanga kikosi

Ukilinganisha na misimu miwili nyuma au mitatu kwa sasa arsenal ina kikosi kizuri sana

Tena ina kikosi cha ushindani shinda ni technical za mwalimu

Kingine ukiachana na liverpool na man city hakuna timu nyingine yenye forward kama arsenal.
Si ndio hapo mkuu,sisi timu yetu tunaijua vizuri, tumeshacheza na wachezaji wa ovyoo, mtu kama Frimpong na wengine wengi lakini mpira ulionekana, eti leo tuna Ceballos,ozil,Xhaka bado kupiga pasi kumi tu inakuwa kazi.

Afu unakuta mtu anamsifia kachukua Europa, si aende Sevilla huko akachukue Europa, atuachie timu yetu bhn hatutaki ujinga huu.Arsenal tunaijua kwa style yake ya uchezaji na ndicho tulioipendea.
 
Kwa taarifa yako yule mzee kashindwa kupanga kikosi

Ukilinganisha na misimu miwili nyuma au mitatu kwa sasa arsenal ina kikosi kizuri sana

Tena ina kikosi cha ushindani shinda ni technical za mwalimu

Kingine ukiachana na liverpool na man city hakuna timu nyingine yenye forward kama arsenal.
I second this. Tuna wachezaji wazuri sana ukilinganisha na wakati wa Wenger, lakini ndio hamna kitu.
 
Back
Top Bottom