Kwenye cabinet post za mwanzo wachaga walikuwemo, na viongozi wengi nyakati hizo walikuwa wameoa uchagani.
Kuna akina Nsilo Swai, akina Lt. Gen Kiwelu, Lt. General Imran Kombe, Brig. Gen. Kimario, Waziri wa Fedha na Gov wa BOT Mtei, Mramba akiwa Waziri toka enzi ya mwl mpaka awamu ya 4. Mtani wenu mpare wa Mwanga alikuwa PM mara 2 na waziri wa fedha wa muda mrefu
Kati ya makabila 132 Tanzania kuna makabila hajawahi hata kutoa Waziri, unapolalama wachaga hawajawahi kupata sehemu ya national cake, nini cha ziada mnataka.
Tanzania ni yetu sote, sio lazima mpate kila kitu.