Recent content by minze manonu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa msimu wa mavuno

    Habari zenu wana janvi, ninamtaji wa 5 million na nataka kufanya biashara ya mahindi ktk msimu huu wa mavuno, kwa mwenye uelewa mzuri na biashara hii naomba kujua mwenendo wake ktk mikoa ya Katavi, Dodoma, Iringa na Mbeya. Mpango wangu ni kukusanya kutoka vijijini na kuleta mjini yaani Centre za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Mashine ya kutengeneza sabuni

    Habari ndugu wana janvi, kwa mwenye ufaham kuhusu mashine za kutengeneza sabuni za mche naomba anijuze upatikanaji wake pamoja na bei.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Ndugu wana janvi, mmeionaje mijadala ya kiongoz ktk pita pita zenu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wapenda mabadiliko tukutane Diamond jubileei kesho na Rais jakaya Kikwete.

    Hukujitambua bali njaa zako ndio zilizokutoa na kuhisi kuwa ukiingia huko utapata neema
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jk anamtetea nani kwa hili

    Anamtetea nani kutokuwa na kikomo kwenye ubunge, mbunge kuwa waziri, kuonyesha waziwazi anataka serikali mbili, Zanzibar kuipa mamlaka kama Nchi.., kwa haya sijaelewa kulikuwa na umuhim gani wa kuunda tume
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji binti Mnyantuzu/Msukuma wa kuoa

    We jamaa vp? We unajua mchumba anatafutwa wapi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji binti Mnyantuzu/Msukuma wa kuoa

    Ndugu wana janvi, habari zenu. Mim ni Mtz ninaish Dar na ndoto yangu ni kumuoa msukuma au mnyantuzu ila kwa mazingira ya hapa mjini wamekuwa adimu sana kuwapata, mpaka nataman kuhamia Mikoa ya kanda ya ziwa kama Shy, Mza, Simiyu na Geita. Kama wapo hapa mjin tafadhali jitokezen nitimize ndoto yangu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Draw ya Klabu Bingwa ulaya 2013/2014 - Robo fainali

    Kwa wale wapenzi wenza wa Man United kwa kupangwa na Buyern Munich itakuwa ndio mwisho wa safar Uefa lada tusubili tena bahati ya ngekewa kama siyo tia tia maji
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mabina-Ijumaa

    Siku yako inapofika daima umauti utakufika tu., wafisadi wengine wajifunze kuwa umauti hauwezi kuzuiwa kwa mkono wa mtutu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC wa CCM amtapeli kimada wake mamilioni ya fedha

    Wew ni mla vya MaCCM na yaweza kuwa pesa za kifisadi zimekukuza ndio maana unatetea wizi wa hao ndugu zako,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni Kiongozi mashuhuri Duniani.

    Hata kama ungekuwa ni wew kwa udhurulaji wake ungefahamika tu, kama kutalii ametalii sana an sidhan kama kuna Nchi ambayo hajakanyaga ktk dunia hii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wataumia wanaume weng

    Kuna huu mtindo ulionzishwa kwa miaka ya hv karibuni ya kufungua min Pub yaan unakuta sehem ya kama vyumba viwili pametengenezwa vizuri an ful kiyoyozi, panauzwa bia za kila aina na wahudum wake unakuta ni wanawake wa ukweli na ukimtizama mara moja tu lazima msismko maana nguo wanazovaa wakati...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mafisadi na Wahujumu Uchumi Wasishitakiwe, Wanyongwe

    Nani wa kuanza kumfunga paka kengele, vita ijayo ni baina ya matajiri na masikini, masikin siku zote ndio hukomboa nchi iliyozama
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zitto sasa ni Kikwete

    Nchi ya waoga ukiongozwa na waoga wenyewe, hakuna kitu chenye nguvu kama pesa ktk Nchi masikiniiii kama hii yenu japokuwa kwa mtizamo ni Nchi Tajiri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

    Sema mmenusulika, iweje useme Lowasa wakati na wew upo humo humo, watu wengne bhana
Back
Top Bottom