Rais Kikwete ni Kiongozi mashuhuri Duniani.

Kwanza angalia ni televisheni gani iliyotangaza.....TBC...Pili angalia ni audience gani iliyoityangazia.....Tanzania,.....tatu angalia kama wewe mwenyewe unaona ni kweli JK ni kiongozi maarufu duniani au la, nini kinamfanya maarufu au mashuhuru duniani. Nenda Zambia, au Namibia uwaulize rais wa Tanzania ni nani, wengine wanajua bado ni mzee Mwinyi. Kulekule SA kwenyewe watu ambao hawakusikia JK akitambulishwa walikuwa wanajiuliza huyu ni nani.

Kama nchi yenyewe si maarufu usitegemee hata kidogo kusikia kuwa rais wake ni maarufu. Huu ndio ujinga wa TBC yetu, very low level of journalistic standards.

Yaani Tanzania haifahamiki hata Zambia?Namibia? sidhani kama unasema kweli wewe???? Mbona JK ni Maarufu sana Duniani!! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. JK Ni maarufu tu ukweli utabaki kuwa kweli, hata Mwinyi hakuwahi kuwa Maarufu kama JK.
 
Yaani Tanzania haifahamiki
hata Zambia?Namibia? sidhani kama unasema kweli wewe???? Mbona JK ni
Maarufu sana Duniani!! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. JK Ni
maarufu tu ukweli utabaki kuwa kweli, hata Mwinyi hakuwahi kuwa Maarufu
kama JK.

Hata kama ungekuwa ni wew kwa udhurulaji wake ungefahamika tu, kama kutalii ametalii sana an sidhan kama kuna Nchi ambayo hajakanyaga ktk dunia hii
 
Pro-Chadema na Dr.Slaa wakisikia hivi matumbo yanawakata.
 
Back
Top Bottom