Ndege ya Precision Air yapasuka matairi yote manne huko Arusha!

Waziri Mkuu aliyejiuzulu E. Lowassa amenusurika kifo baada ya ndege ya Precision kupasuka matairi yote 4 wakati ikitua Arusha mchana huu.hakuna mtu aliye jeruhiwa katika kizaza hicho,safari za angani majini na nchi kavu ni zakuwa makini haswa kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Kababu haka katulie kajiuguze kapone, kamrudie Mungu kisha kaje kutuomba wa TZ msamaha
 
Hivi ni Lowassa pekee aliyenusurika au kuna wanaadam wengine waliokuwa on board?

Ashakum si matusi kuna watu jamani ni typical waste of #@&%*+*/& from a man!!!!!!
Unajiuliza ni njaa au nini kinamsukuma kuandika
 
Imekuaje hadi tairi zote zipasuke wakati mmoja....twende mbali zaidi ya hiyo
 
Imekuaje hadi tairi zote zipasuke wakati mmoja....twende mbali zaidi ya hiyo

Wala usiumize kichwa na tyre ajali ya ndege ya kutengenezwa wala tyre zisingehangaishwa tena wakati wa kutua!!!!!!!!!!!

Watu hawalali kwa hiyo mambo angetakiwa wala isingetua!!!!!!!
 
Mkuu PakaJimmy hebu tujuze usalama ndani ya ndege na hamaki ya wasafiri ilikuwaje baada ya Mlio kusikika? Je wana anga hasa hawa ma Cabin Clues walitekeleza wajibu wao kuwatuliza wasafiri na kuwaelekeza nini cha kufanya kwa muda huo?
Mkuu FUSO,
ilikuwa ni balaa, na kilichosaidia ni kwamba kawaida wakati wa kutua huwa abiria wanapewa warning ya kufunga mikanda, vinginevyo wangeanzanza kusimama kwa fujo na kuattempt kuruka madirishani, maana burst zilisikika vema kwa abiria wote, zikifuatiwa na mtetemeko wa ajabu wa ndege, utadhani inapita kwenye rasta rasta za barabarani.

Well, nyakati fulani nilipata kusoma mahala palipoandikwa kuwa Katika hali ya kawaida Abiria wa ndege ni watu Wastaarabu, huenda ni kweli, maana kulizuka ukimya wa aina yake hadi mwisho wa episode, tuliamua kufa na tai shingoni!... ha ha haaa!
Cabin crews hawakupata nafasi ya kutoa nasaha zao, maana pia walipata shock, na by the time wanapata energy na kutaka kuanzisha habari za kuishi kwa matumaini, ndege tayari ilishasimama!
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu E. Lowassa amenusurika kifo baada ya ndege ya Precision kupasuka matairi yote 4 wakati ikitua Arusha mchana huu.hakuna mtu aliye jeruhiwa katika kizaza hicho,safari za angani majini na nchi kavu ni zakuwa makini haswa kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.

Pole sana Mheshimiwa Lowassa.
 
Heeeee!!!! Mi nisingemtaja Lowassa, ningeandika abiria akiwemo member wa Jf.

Anyway, poleni wote kwa mstuko, ashukuriwe Mungu kuwaponya wote
 
Si jambo la kufanyia mashara. Tumshukuru Mola Karim Kwa kutoa Nusura kwa Abiria wote pamoja na Chombo.
 
Back
Top Bottom