Recent content by minuz

  1. minuz

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatoa ujumbe usioelewaka! Korea Kusini yashikwa kiwewe

    Jamani mimi sielewi kabisa hivi ugomvi wa north na south korea ni nini si ni kila mtu ana kwake
  2. minuz

    JamiiForums Tanzania Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa sheikh

    Sound ya kuku anapokamatwa
  3. minuz

    JamiiForums Tanzania Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa sheikh

    Mali za kampuni na wamiliki kwio
  4. minuz

    JamiiForums Tanzania Wenye mpango wa kumhujumu RC Makonda hawa hapa

    Its seems hivi vyeo vya ukuu wa mkoa na wenyewe hawana kazi vifutwe tu,takwimu zipo si wa anzie hapo lakini kama hawajui hivi kama kuna takwimu,watu hawana kazi inajulikana njoo na mpango wako unawasaidiaje sio msako,msako utawapata kibao halafu unawafanyaje unawafunga au unawaanzishia vijiji...
  5. minuz

    JamiiForums Tanzania TRA mko wapi? Selcom imeshirikiana na Azam Play TV kukwepa kodi (VAT) ya zaidi ya Bilioni 181

    Sasa nauliza kwani mna wateja wangapi semeni azam wenyewe ili mpunguze hiyo amount,halafu semeni sio kweli kwamba mliwatangazia wateja msg za kupandisha ghalama kwa sababu ya vat, na hizo risiti zenu mzikane hapa hapa maana hazina vat wakati wateja mnawalipisha au veepe? Jibuni hoja acheni...
  6. minuz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magaidi waloshambulia Madina ni mkono wa Israel

    hiyo inaitwa mbandwa kala mbandwa
  7. minuz

    JamiiForums Tanzania Ommy dimples na Rooney wanakula bata viwanja

    Nimeipenda pua ya rooney if u know what am saying
  8. minuz

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Kikwete, Kadi yangu utaikuta mlangoni

    Si ni miaka kumi tena mlikua mnasema kabisa zamu yetu sasa, miaka yenu kumi imeshakwisha bado mnataka na ya magu muwemo vp tena mmejisahau mtaisoma namba
  9. minuz

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Historia Kuntu ya Somalia

    Msomali wa kaliakoo huyo kasoma uhuru mchanganyiko we muulize[emoji3]
  10. minuz

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Hapa ndio ninapo washangaa wasomi wetu,msomi anang'ang'ania vat inalipwa na mlaji sawa,sasa ufafanuzi umetoka hatakiwi kulipa mlaji ni hao watoa huduma hivi hapo kisicho eleweka ni nini,kosa ni kutumia hilo neno vat so change it wamekalia majungu tu kisicho eleweka hapo ni nini
  11. minuz

    JamiiForums Tanzania Mkono Advocates wafungiwa ofisi na TRA kwa kudaiwa kodi Sh. Bilioni 1.1

    Kusimamia wapi ndio walikua ma engineers wa kutengeneza case ili tanesco ishindwe walipwe hayo madola
  12. minuz

    JamiiForums Tanzania Kampuni 4 zabainika kukwepa kodi Sh. Bilioni 29.2. SKOL, A. M Steel wamo...

    Kwa hiyo hizo mashine efd hazina link yoyote na tra kwa maana ya verification procedure conducted mpaka mtu anapeleka marisiti feki yailahi!
  13. minuz

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Prof. Wangwe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF

    Unataka uigwe nini ?wakati huna lolote la kuigwa,ni wewe ndio wa kuiga na huo ndio ukweli, watu wana angalia uwezo sio jinsia,dini au kabila yaani mtu anamakalio mazuri unampa ukuu wa wilaya,huyu nae ni mcha mungu unampa ukulugenzi wa shilika na huyu ni mzalamu mwenzako unampa uwazili ndio...
  14. minuz

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mauaji ya Mwanza, Tanga wauawa Dar

    Hata huko america na ulaya nchi zinazofuata haki za binadamu ukimshikia askali bunduki u a gone
  15. minuz

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aagiza kusitishwa utolewaji zabuni kwa kampuni 4 za ujenzi

    Skol si ndio walijenga akachube road,jamaa ni majambalika
Back
Top Bottom