Mr Hero JF-Expert Member Jun 11, 2015 5,540 7,452 Jul 3, 2016 #1 Kutoka kigoma mpaka Spain wamegongana na mzee wa vidimples huwezi kuamini rooney ndio aliomba selfie hutaki mbishi
Kutoka kigoma mpaka Spain wamegongana na mzee wa vidimples huwezi kuamini rooney ndio aliomba selfie hutaki mbishi
Jaslaws JF-Expert Member May 31, 2011 6,016 5,294 Jul 3, 2016 #4 Hivi ukitumwa kumpeleka Rooney wa man u utampeleka huyo jamaa!?wabongo bwana.
Focus120 JF-Expert Member Nov 10, 2014 1,089 793 Jul 3, 2016 #7 Kama aliomba selfie inakuaje Dimpoz ndio kashikilia Simu
minuz JF-Expert Member May 8, 2014 624 216 Jul 3, 2016 #8 Nimeipenda pua ya rooney if u know what am saying
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,137 3,323 Jul 3, 2016 #9 Hyo labda ni Rooney wa stand united
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Jul 3, 2016 #10 Th Name said: Nani ameshika simu hapo? Click to expand... Nani anacheka kama aamimi imetokea?
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Jul 3, 2016 #11 Bora uwe mkwel tu dimpos ndiyo kaomba selfie.. Ila safi sana
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,228 116,840 Jul 3, 2016 #12 miss chagga said: Nani anacheka kama aamimi imetokea? Click to expand... We mgomvi kumbe?
M Moro¹One¹ JF-Expert Member Jan 17, 2016 506 745 Jul 3, 2016 #14 Kafika Ibiza! Ndo maana kaomba! Wewe ujafika unabishana Sim kashika nani!?.Safi sana bro K.P.K.
B bigonzo JF-Expert Member Feb 23, 2016 2,914 2,253 Jul 3, 2016 #16 kuna wengine wanakufa hata Nairobi hawajawahi kufika...life is not fair
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Jul 3, 2016 #17 miss chagga said: Nani anacheka kama aamimi imetokea? Click to expand... Nani kamfata mwenzake?
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Jul 3, 2016 #18 ombi said: Hahaha Click to expand...
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,814 26,200 Jul 3, 2016 #20 Sasa mtu anayeomba selfie mbona hajashika simu...