Ndugu yangu Kikwete, Kadi yangu utaikuta mlangoni

Si ni miaka kumi tena mlikua mnasema kabisa zamu yetu sasa, miaka yenu kumi imeshakwisha bado mnataka na ya magu muwemo vp tena mmejisahau mtaisoma namba
 
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
Kifupi huyu mtu hakuna ajuaye anapotupeleka bila Speed governor hakika atatumbukiza korongoni
 
Imefika mahali ni lazima ccm tufuate katiba tuliyojiwekea wenyewe. Haya mambo ya kulindana siyo karne hii tena. Mwenyekiti inatakiwa akae mpaka kipindi chake kikatiba kitakapokwisha.habari ya kuachiana zimepitwa na wakati.

Pia kila mwanachama wa ccm mwenye sifa Ana haki ya kugombea kuwa Mwenyekiti wa chama.siyo lazima Rais awe Mwenyekiti . Huku ni kumrundikia mtu cheo, na hata mwenyewe Juzi wakati anawaapisha ma DC mlimsikia wazi akisema kuwa serikali yake ni ya mtu mmoja cheo kimoja. Tumuunge Mkono
 
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
Watajijua wenyewe
 
Wewe una uhakika gani huyu ni MWANACHAMA WA CCM????
 
Inatakiwa kaka yetu mkubwa JK utafakari upya. Ni muhimu sana kubaki kuwa Mwenyekiti wa hiki chama kwa nia ya kukinusuru. Kiukweli karibu 90% ya wanachama wa ccm tunakuamini tunakupenda, haswa kwa busara zako na hekima zako kitendo tu cha kustaafu uwenyekiti, utatuacha wakiwa. Kaka yetu mkuu, tuonee huruma. Angalia ni miezi Tisa tu tangu umetuacha. Tizama tulivyopauka. Nchi tumekaa Kama tumefiwa. Watu hatuna raha kabisa.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Asi
BAVICHA nao wamecharuka hawataki Magufuli akabidhiwe chama wamepanga kukwamisha Mkutano wetu Mkuu wa July 23 jee wanahofia nini?
Asikudanganye mtu. BAVICHA Wanaomba na kukesha mkuu akabidhiwe, maana wanajua kwa mwendo huu wa ukali, baada ya mwaka chama kitabaki na wanachama 1000 tu, tena wale wazee wa magwanda na magwaride. Mtu mzima hakaripiwi anaelekezwa. Kwa mwendo huu. Ccm tuombe sana Mungu.
 
Kwa hiyo Bavicha wanakiri Jakaya alikuwa Kikwazo kwao?
 
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
jamani wanachama wenzangu tusiwe na hofu juu ya mwenyekiti mpya wa taifa n mtu safi anapenda siasa za wazi,hapendi majungu, unafiki na wizi hivyo tuwe tayari wanachama wenzangu kufanya kazi na kiongozi asiyependa masilahi ya taifa kuhujumiwa na watu wachache lazima keki ya nchi iliwe na watanzania wote aiseee!!!! KARIBU MWENYEKITI!!
 
Ndugu yangu, kaka yangu, rafiki yangu JK. Nasikia una mpango wa kumwachia uenyekiti Yule jamaa yetu ambaye hatabiriki. Nimeona Juzi wakati Lubuva anakabidhi ripoti ya uchaguzi pale magogoni mheshishimiwa huyu, alikupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Ati anasema atawalinda marais wastaafu wote, wakati akijua kabisa kuwa wanalindwa na katiba.hiyo yote nilijua ni mbinu tu nyepesi ya kukufanya ujisikie ili umpe uwenyekiti.

Sasa Mimi Kama mwanachama wako mwaminifu nakuomba, usimpe mpaka muda wako umalizike. Sababu ni kwamba, kaka huku mtaani watu wote wamenuna. Tangu ulipoondoka ukatuaminisha ambayo wewe mwenyewe hukuyaamini, hali ni mbaya sana. Sasa wanachama wenzangu tunajiuliza, je? Ikiwa tu hapa tulipo tayari tuko hoi,ukimpa tena huo uenyekiti si itabidi tukimbie kabisa tukafie mbali! Tuone huruma kaka yetu mkubwa. Imeshatosha. Ukimpa tu. Kadi yangu utaikuta mlangoni kwako na Mimi sipo.
Mkuu umesema vizuri na ni vizuri kutoa yako ya moyoni,ebu rudisheni hizo kadi maana ccm sasa hapata kuwa mahali salama tena
 
bado ni mapema sana kwa nyinyi vjna wa lumumba kuelewa wapi tunakwenda. N inacho waaomba kwenu muwe wavumilivu tu.
 
jamani wanachama wenzangu tusiwe na hofu juu ya mwenyekiti mpya wa taifa n mtu safi anapenda siasa za wazi,hapendi majungu, unafiki na wizi hivyo tuwe tayari wanachama wenzangu kufanya kazi na kiongozi asiyependa masilahi ya taifa kuhujumiwa na watu wachache lazima keki ya nchi iliwe na watanzania wote aiseee!!!! KARIBU MWENYEKITI!!
Mkuu, ni miezi Tisa sasa, hiyo keki iko wapi? Ebu jaribu tu kufanya ziara bandarini Kama hutalia machozi. Na Kama utafika na bandari ya tanga utatoka machozi ya damu. Ile foleni ya malori ya pale tunduma sasa imekuwa historia. Sijui tulimkosea nini Mungu!
 
Hapo ndo siwaelewagi CCM...
Yaani mmempa bendera ya CCM kuipeperusha kwenye kinyang'anyiro cha uraisi... Akashinda. Iweje muhofie kumpa uenyekiti wa chama..?? Mjue kuwa Kama raisi, anaongoza watu wengi kuliko idadi ya wanachama wa CCM

1. KWANINI MNAHOFIA..??
2. KWA NINI HAKUKUWA NA MANENO MANENO KAMA HAYA ENZI ZA WATANGULIZI WA MAGUFULI..???
3. KUTOTABIRIKA KWAKE, MNAMAANISHA MAKUNDI YENU NDANI YA CCM..??
4. AU MNAHOFU NA KUFUMULIWA UFISADI..??
Kwa sasa ndani ya ccm kuna makundi haya hapa
1:ccm maslahi
2:ccm imani
3:ccm chumia tumbo
 
Back
Top Bottom