Alaa kumbe.Na Skol Building naye yupo? Huo ni mfupa hatauweza
Kiongozi kama barabara miez mi 4 tu imeanza kubomoka.kwenye mikataba ya ujenzi kuna kipengele cha deffects liability period hapa contractor anabd afanye matengenezo ya barabara kama deffects yoyote itatokea kwa kutumia gharama zake mwenyew.hapa sasa naona watu wa JF mnaanza kupotoka, yaani huyu kanona madudu mengi sana , hawa hawafai kabisa, barabara miezi minne tu imebomoka
Ipo na ina kazi bandariniKuna kampuni moja inaitwa Tanzania Building Works kama sijakosea,iliwahi kulalamikiwa sana bungeni kwamba ilikuwa inapewa zabuni inachukua pesa lakini haimalizi kazi na baadaye inakwenda kushtaki.Ilifanya hivyo kwa jiji la Mbeya na Mwanza,sijui ilifikia wapi
Tukitaja mtu tutapelekwa mabwe pandeHii ni ya kigogo gani nchi hii?
Basi hapa mkuru anasuuzika kweli
Basi hapa mkuru anasuuzika kweli
hii haiwez hata anye ina wenyewe mkuu apo anajisumbuaHii ni ya kigogo gani nchi hii?
Skol si ndio walijenga akachube road,jamaa ni majambalikaskol anapoteza muda tuu
Kwani hili ni jukwaa la ukawa? ngoja nichomoke mieHivi kwanini ukawa mnapenda sana kutetea wezi?
Habari wanaJF,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mshimiwa Paul Makonda leo amechukua hatua ya kuzisimamisha na kusitisha Kampuni ya Inshinomya Co. LTD na kuyasimamisha Makampuni mengine ya kujenga barabara ya Germinex construction LTD, Del Monte (T) Ltd na Skol Building Contraction katika Mkoa wa Dar es salaam
Hii ni kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango na kuagiza makampuni haya kutopewa tenda yeyote kwenye Mkoa wa Dar es salaam mpaka Mkuu wa Mkoa atakapojirizisha na utendaji wa kazi kwa Makampuni hayo.
Habari wanaJF,