Huyo kijana nae ana mapungufu,sidhani kama mtu wa dini anaweza akawa mzinzi,asitudanganye bwana,yeye alipashwa kutafuta mchumba kwanza,amchunguze vile atakavyoridhika kulingana na maadili ya dini yake inavyomwelekeza huku na yeye akiwa anaandaa mazingira ya kumtahadharisha na tabia hizo au...