Msibani kwa balozi daraja jioni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msibani kwa balozi daraja jioni hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 12, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  Mke wa Balozi Andrew Mhando Daraja, Bi. Ana daraja, ambaye alifariki Machi 6 mwaka huu kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa Shamba Boy wao, leo amaegwa kwa ibada maalum iliyofanyika nyumbani kwa balozi, Kimara Temboni jijini Dar na kuhudhuriwa na Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali. Marehemu amesafirishwa jioni hii kuelekea Tongwe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, ambako anatarajiwa kuzikwa kesho. Mtandao wako ulikuwepo kushuhudia na hizi ndizo taswira zake:

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimfariji Balozi Mstaafu, Andrew Daraja kwenye msiba huo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Bw. Reginald Mengi, (kulia) akimpa pole balozi Daraja.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Nchi za Afrika (AU) na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Salim Ahmed Salim, akisalimiana na Bw. Reginald Mengi (kulia), nyumbani kwa balozi mstaafu huko Kimara Temboni.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Patric Tsere akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Balozi huko Kimara Temboni leo mchana.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mama Salma Kikwete akiondoka na mumewe baada ya kutoa pole kwa wafiwa.​

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,375
  Likes Received: 22,241
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wafiwa.
  Kikwete anauza sura, cheki alivyokenua kwenye ile picha ya kwanza kabisa.
  Kikwete, wito wangu kwako ni huu, omboleza na waombolezao,
  cheka na wachekao.
   
 3. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nimeipenda hiyo picha yake na Salma, pengine ni picha yangu ya kwanza kuwaona wakiwa katika pozi hilo...kama wanaongea!
   
 4. gwambala

  gwambala Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaaa yeye anatabasamu kokote tu hata kusiko tasabamulika ha ha ha kweli ile quote ya ki eac ilikuwa yenyewe
   
 5. M

  Mimmah Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo balozi mbona haonekanii kama ndo mfiwa mwenyewe,yani yeyey yupo kwenye stori tu,Ila nampa pole sana na huyo shamba boy ilikuwaje mpaka amchome mrs.....Balozi kisu jameni au ndo mambo ya kuchoka kufokewa na bosi kila wakati?
  Naye iko siku yake ataelekea aliko huyo mama,sote tu safarini jamani.
   
Loading...