Twanga yawapa motisha wanamuziki wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twanga yawapa motisha wanamuziki wake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 12, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">

  </td> <td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--colorstart:#000066--><!--/colorstart-->Katika kuwatia moyo wa kufanyakazi, uongozi wa ASET umeamua kuwa unatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwezi kwa wanamuziki wa bendi ya African Stars. Utaratibu huo ulianza rasmi usiku wa kuamkia leo pale Club Bilicanas ambapo Mpiga Drum mmoja, mwimbaji mmoja na mnenguaji mmoja waliibuka kidedea na kujinyakulia zawadi....Asha Baraka amesema kuwa utaratibu kama huu utakuwa ni kila mwezi....mtandao wako nao ulikuwepo kunakiri matukio hayo na mengine kama ifutavyo:<!--colorend--><!--/colorend-->

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Ankal Issa Michuzi akimzawadia Salehe Kupaza zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi kwa upande wa waimbaji wa bendi hiyo huku Da'Asha Baraka akishuhudia tukio hilolililojiri ndani ya Club Billicanas jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Nyota wa filamu bongo, Steve Kanumba The Great (kulia) akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi wa Twanga Pepeta upande wa wanenguaji, Asha Said 'Sharapova', huku Da'Asha Baraka na MC wa shoo hiyo Richard 'Big Brothe'r wakishuhudia.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Meneja Mkuu na mwendeshaji wa mtandao wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kulia), akimkabidhi zawadi yake mpiga drums bora wa mwezi, James Kibosho, ambaye ni miongoni mwa vijana wadogo wa bendi hiyo. Kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wao, Asha Baraka

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ..Asha Baraka akiongea machache huku akisiklizwa kwa makini na Kanumba pamoja na Richard 'wa Big Brother,

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Baada ya kutoonekana kwa muda mrefu, hatimaye jana Aisha Madinda (kulia) alipanda jukwaani katika onesho la Twanga Pepeta ndani ya Club Bilicanas usiku wa kuamkia leo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Aisha Madinda...alikuwa kivutio cha mashabiki katika safu nzima ya wanenguaji wa Twanga ukumbini humo.

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kisigino kwa kwenda mbele!:)
   
 3. M

  Mimmah Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo ndo mambo ya Asha Baraka.
   
Loading...