M Mimmah Member Joined Mar 11, 2010 Posts 18 Reaction score 0 Mar 24, 2010 #21 Ni ya kawaida sana,mbona hata bongo ipo hiyoooooooooooooo! Ni kawaiidaaaa tuuuuuuuuuu.
Felixonfellix JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 1,672 Reaction score 184 Mar 24, 2010 #22 kazi ipo
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,729 Reaction score 14,887 Mar 24, 2010 #23 Kang said: Mbona kwenye hizi sioni cha kushangaza? Huyu Michael Douglas alikuwa Sexiest Man Alive mwaka mmoja kama sikosei. Click to expand... Mkuu Kang, inawezekana wenzetu kuwa wanampenda mtu kwa mapenzi ya dhati ; lakini kwetu huku mapenzi ya namna hiyo hayapo ni pochi tu!!!
Kang said: Mbona kwenye hizi sioni cha kushangaza? Huyu Michael Douglas alikuwa Sexiest Man Alive mwaka mmoja kama sikosei. Click to expand... Mkuu Kang, inawezekana wenzetu kuwa wanampenda mtu kwa mapenzi ya dhati ; lakini kwetu huku mapenzi ya namna hiyo hayapo ni pochi tu!!!
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Mar 25, 2010 #24 A man is money!!!!!!! !!!!!! Once he has money he will have a woman of his choice
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Jul 13, 2011 #25 sura kwa Mwanamke, pesa kwa mwanaume.