Ni baada ya mda gani mwanamke anaanza kumpenda mwanaume, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni baada ya mda gani mwanamke anaanza kumpenda mwanaume,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by katelero, Jun 18, 2010.

 1. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nauliza tu jamani eti mwanamke anaanza kumpenda sana mwanaume baada tu kumegwa?
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mpaka anakubali kushughulikiwa ina maaana tayari alisha penda. Ila huo unakuwa mwendelezo wa kukua kwa penzi. Au?
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  una mashaka na mpenzi wako?
   
 4. T

  Tall JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.AKISHAONA SASA UNAMJALI,UNAMHESHIMU,UNAMPENDA,UNAMSIKILIZA NA......UNAMTIMIZIA.UKIFIKIA HAPO ATAANZA KUKUPENDA.

  2.NAAMINI KUWA MARA NYINGI AKINA DADA WAO HUANZIA KWENYE O NA SISI WANAUME HUANZIA 100 KIMAPENZI,WAKATI UNAMTONGOZA HAPO WEWE UPO 100 KWA MIA UNAMPENDA SANA SANA. AKISHA SEMA NDIYO TU..... MAKSI ZINADROP ZINAKUWA KAMA 95 HIVI UKISHALALA NAE aaaah unaona kumbe ni wakawaida tu hivyo mapenzi yanazidi kupungua.Baada ya muda mrefu yanabaki karibia ya sifuri.

  3.Kwa mwanamke siku unamtongoza wakati mwingine anaona kama unamtania tu..hivyo hayupo interested kabisa YUPO KWENYE 0. Ndio maana kuna majibu kama''wanaume wote ndo zenu,mzuri nitakuwa mie'' au ;;utapenda wangapi?'' anakuona unaigiza tu. Lakini baada ya muda taratibu ANAANZA KUKUAMINI mapenzi yake yanapanda wakati wewe yanashuka. Itafika mahali mko sawa wote 50 kwa 50HAPA KAMA MPO PEPONI HAKUNA UGOMVI MAMBO NI NDIYO, SAWA HONEY,SWEETHEART...... mapenzi ya mama yakipanda zaidi anaanza wivu wakati wewe yakishuka zaidi unaanza kutafuta substitute. HALI HII HUTOKEA KWA WENGI SIJASEMA KWA WOTE NA MIMI TALL SIO LAZIMA NIWE KWENYE GROUP LOLOTE KATI YA HAYO..............HAYO NI MAWAZO YANGU TU.
   
 5. Mwazani

  Mwazani Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nikuulize,
  Wewe binafsi unampenda sana mwanamke ukisha mmega?
   
 6. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  je kama yote hayo jamaa hajayafanya, ila baada ya mwanamke huyo kutongozwa ikatokea kumpenda sana huyo mwanaume, je hiii inaweza kupelekea huyo mwanaume kuwa na mashaka na huo upendo? kwamba iweje unipende hivyo hata sijakumega
   
 7. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  huwa naanza kupenda sana kwanza kabla ya kumegana
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukimpenda mtu from the bottom of your heart hutajali kama "umemmega" (or rather 'mmemegana") kwanza au la...! You have to really love the person first, mambo ya kumegana yaweza kuja kwenye level nyingine ya 'mapenzi" yenu.

  On the other hand, katika ulimwengu wa leo, kumegana si lazima kutokane na mapenzi; it could be business, rushwa ya ngono etc ambayo malengo yake ni tofauti kabisa na mapenzi.

  Ni mawazo yangu tu lakini, msinitoe macho...:A S 114:
   
 9. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaweza ukamega hata mara 20 asikupende hata mara moja, akawa anakutumia tu kama 'DILDO'
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Ndo hapo sasa...kwa uelewa wangu mwanamke sidhani kama anamegwa. It takes two tio tangle. Basi kama hivyo ni wote wanamegana
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 24, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Du wanamegana?????...lol
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu babuyao, hapo kwenye red; inamaana mwanaume huwa hashughulikiwi anayeshughulikiwa ni mwanamke tu?
   
 13. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Jibu liko kwa huyo mwanamke mwenyewe!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Mhhhh
  ukisema mwanamke ni lazima useme mwanamke yupi?
  Msichana bikira??
  Mwanafunzi wa secondary?
  Shangingi la taarabu?
  Mama mwenye watoto na wajukuu??????

  Sidhani kama wote hao wako sawa..
  Wengine kumegwa ni kila siku...hakuna cha ajabu....
   
 15. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,807
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  umeshapenda mara ngapi? Na mimi nafikiri mapenzi yako kwa mtu mmoja tu kwahiyo kaama ushapenda zaidi ya mara moja umekuwa unadhulumu penzi la mtu mwingine au unadhulumiwa penzi lako!
   
 16. T

  TUMY JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2010
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kumegana na kumpenda mtu, unaweza ukammega na bado akakuchukulia poa tu na unaweza usimmege na bado ukawa the best men to her.mapenzi ya dhati ni zaidi ya kumegana:A S-confused1:
   
 17. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ilivo na nijuavyo ni kwamba kuhisi kuwa mwanamke akimegwa ndo anapenda si sahihi. Mwanamke huwa anajiridhisha kwanza na alichokipenda ndo hapo kumegwa/kumegana kunafuatia.
   
 18. m

  muhanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nijuavyomie love has nothing to do with kumegana, maana wa sex workers huwa wanamegana kiuhakika lakni sio kwa mkataba wa kumegana na kupendana ila kumegana na kulipana pesa! mwanamke anampenda mwanamume baada ya kumuelewa na kumuamini kuwa anaweza kumtimizia mahitaji yake ya msingi, kumridhisha, kumtuliza, kumheshimu n.k. ila wanaume mara nyingine hupenda at first sight kwa kuangalia maumbile n.k. wanawake wanapenda kwa style ya mbwa: kabla hajakujua vizuri anakuwa mkali mkali hakupendi sana lakini kadri unavyoendelea kuishi nae ndio anazidisha mapenzi kwako tena zaidi na zaidi na hataki uwe mbali nae, lakini wanaume style yao sijui ni aina gani anaanza na kukupenda then baada ya kukidhi haja zake anakuchoka outright
   
 19. M

  Mimmah Member

  #19
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S-rose: Hi,
  Nashukuru kwa kunikumbuka mdau mwenzangu,ni kweli nina muda nyingi sikuchangia mada yoyote nilikuwa safarini kwa muda kidogo vijijini.

  Any way,kiukweli mwanamke ataanza kumpenda mwanaume pindi tu atakapothibitisha kuwa mwanaume huyo anampenda kwa kumjali hisia zake,kumthamini,kumuheshimu na mengineyo,na si mpaka wamegane jamani.

  Naomba tuwe tunachangia mada zetu vema ili kila anaesoma iwe ni elimu bora kwake na c bora elimu.

  Nawatakia siku njema wadau wenzangu
   
 20. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2015
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mii nina rafiki yangu dah yeye anajua wazi namfeel sana ila wala hajanimega the good thing ni muelewa we have

  planned the future together so Mungu akijalia tutafunga ndoa , sio kwamba mkiwa kwenye relationship lazima akumege

  , nilichojifunza from my swirly , sio kwamba mwanaume akikuomba nanliiu... anamaanisha kweli sometimes anaku test

  tu akuone utarespond , kama wewe ni maharage ya mbeya pia na kuepuka kukaa sehemu za private sema room hivi

  mkijifungia mnaamsha nanhii.

  pia kama ana long term plans na wewe atavumilia tu ili msifanye uasherati. mwanaume ana uwezo wa kuzikabili hisia

  zake sio mbwa kwamba akikosa sijui atananhiiii


  haha jf
   
Loading...