Nenda Ubungo mkabala na mataa ya Udsm kuna Duka mkono wa kushoto kama unatoka Mwenge. Utaona bango wamechora adruino. Ingawa jina la duka nimelisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha ni mji wa kitalii kwa hiyo kuwa na mahotel ni kitu cha kawaida ila kwa ajiri ya watalii ukute mwenyeji hata mmoja hana uwezo wa kulala ila uwezo wa kuhesabu magorofa na hotel na pia ni makao mkuu ya Afrika mashariki. Mbeya ni mji wa kilimo Pekee hakuna jambo la nyongeza, ambayo inaweza...
Wateule - jay moe, solo, simba, jafarai
Hbc - prof Jay, wille, fanani
Wimbo wa boss, jahazi ni za ferooz
Mkiwa ni wimbo wa k-sal kamshilikisha ferooz
East coast hawakuwahi kuwa na wimbo wa pamoja huo ni wimbo wa gk kawashilikisha east coast
Hivi Mungu alipumzika kuumba dunia siku gani? Haya majina ya Jumapili sijui Jumamosi yasitufanye kuwa tofauti, wakati binadamu ndo kayaita. Na kumbuka hakuna siku iliyoumbwa kuwa Jumatatu wala Jumanne, siku inakamilika pale jua linapochomoza na kuzama. Mwanadamu kazipa majina kwa kurahisisha...
Mimi yangu nimeunganisha kawaida kwa antena, unechagua nchi kama mimi kwenye orodha kwa Afrika ni SA pekee, na nikaenda kusearch moja kwa moja nikazipata zikiwa HD kabisa. Au aina ya Tv yako pia mimi ni Tcl
Ni simple mkuu, cha kufanya ni kuwa na antena yako na kuiunganisha kwenye Tv moja kwa moja na kwenda kusearch kupitia menu na utazipata channel nyingi za Tv na redio ndani na nnje ya inchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.