Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Waoo nampendaga sana meena nilitamani kumjua nw nimempata she's so cute aisee ningekua mwanaume ningemuoa aki tena...
 
Mkuu,,,turushie na picha yake KASIMAMA,,,isije ikawa SHAPE YAKE KAMA ANACHOMA SINDANO...
 
nguvu ya makeup,adobe, high resolution cameras, angalia ile video kawahoji machalii wa chuga with no makeup ndo ujue ni mzuri ama la, ani leo anaonekana mzuri kesho mmbaya sa ndo ma nini
Sure
FB_IMG_15441090653398003.jpg
 
Back
Top Bottom