The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Huu mfumo wa kiupelelezi ndani ya huawei upoje? Una features gani mpk marekani wasimamie ukucha hivi? Ni kwa marekani tu au ppt pale huawei phone duniani itakapotumiwa?
Na Australia je?USA wahuni tuu, hawana lolote.
Atakwambia ni washirika wa USA ,Na Australia je?

Hujaelezea llt, umetoa danga tuUSA wahuni tuu, hawana lolote.
Kuna habari kama hizi za huawei kuspy na equipments za telecomUSA wahuni tuu, hawana lolote.
Kuna habari kama hizi za huawei kuspy na equipments za telecom
https://www.reuters.com/article/us-...n-huawei-equipment-in-2011-2012-idUSKCN1S60N0
Usa naye vile vile anaspy wenzake sana tu,
Kinachofanyika hapa ni mdukuzi mkubwa anamminya mdukuzi mdogo,
Na china software kuwa na Backdoor ni lazima siyo hiari, ipo kikatiba kabisa.
Nafahamu ndio maana nikakuambia mdukuzi mkubwa anamminya mdogo, tatizo USA ameshika mpini, maana China wananaona kufanya tafiti ni kazi kubwa sana, wamebaki kukocpy tu.Hata USA naye ana sera hizo hizo.Rejea kauli ya mmiliki wa Telegram bwana Durov.
Lakini wameshindwa kuthibitisha hili, wamebaki kwenye nadhalia tuuKuhusu huawei kuzindua 5G siyo tatizo kwa Marekani
Tatizo ni huawei kuweka mfumo wa kiupelelezi kwenye device zao
Mengine ni stori za vijiweni tu
Marekani alipandisha kodi kwenye bidhaa za kichina zenye thamani ya 200 bilion. Mchina naye akaja ku resoond kuzipandishia bei bidhaa za marekani zenye thamani ya bilion 50 hivi,
marekani aka panic akamtaka mchina aondoe izo kodi otherwise marekani itamuwekea kikwazo, nahisi hii ndio ilichochea mpaka google apige ban huawei
very simple kuna vitu vichahche tu vya kufanya kuifanya pocessor iwe compatible na OS au APP yoyote.Na kwenye Processor napo wanatokaje?
hiyo inawezekana kabisa, Israel through MOSSAD waliwahi kufanya hivyo kupitia tajiri wa vyombo vya habari MAXWELL mika ile, computer za isarel ziliwekewa kakitu wakakaita BACKDOOR, wanakuwa wanakusoma remotelly, kama Trump hadanganyi kama BUSH mtoto wakati wa kumpiga SADDAM, wako sawa!Lakini wameshindwa kuthibitisha hili, wamebaki kwenye nadhalia tuu
Wabongo Nuksi, kwanini sasa duniani kuna processor za aina mbilu tu zinazotamba x86 na arm kama ni rahisi hivyo?very simple kuna vitu vichahche tu vya kufanya kuifanya pocessor iwe compatible na OS au APP yoyote.
Additional research is being conducted in China, the United States, the European Union, Taiwan and Japan to build even faster, more powerful and more technologically superior exascale supercomputers.[5]ukielewa maana yake hutasumbuka,thats how the bits are transfered. unadhani mchina hana hiyo!!, among the owners of super computer mchina yumo!!
Additional research is being conducted in China, the United States, the European Union, Taiwan and Japan to build even faster, more powerful and more technologically superior exascale supercomputers.[5]Wabongo Nuksi, kwanini sasa duniani kuna processor za aina mbilu tu zinazotamba x86 na arm kama ni rahisi hivyo?
But China's leaving the US in the dust when it comes to their respective shares of the world's top supercomputers. According to the latest Top 500 list, published Monday (June 25), China has 206 supercomputers and is leading the US by a record margin—82.Jun 25, 2018Wabongo Nuksi, kwanini sasa duniani kuna processor za aina mbilu tu zinazotamba x86 na arm kama ni rahisi hivyo?