Tusidanganyane hapa. Yebo Yebo kaeleza. Kinacho-determine taaluma siku hizi ni markatability. I can assure you, kama mtu angemaliza udaktari wake Muhi2..akaanza na mshahara wa Million 1.5/2 or so, au mwenye Bsc, ENG. NK anakuwa na mshahara wa kuishi na sio wa kulipa bill tuu.. na anayemaliza na...