Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

nadhani hapa jk alichoongelea ni kufuta umilikishaji wa dhuluma,mfano mjanja fulani anakwenda katika kijiji chenye mathalani ekari 1000,kwa kutumia ujanja anatumia hila mpaka anamilikisha ekari 800 na kijiji kinabaki na ekari 200 tu,hapo jk anaeleza taratibu alizotumia huyo mjanja ni halali lakini kitendo ni haramu hivyo atafuta,pili kuna ambao wanadhulumu watoto yatimvitendo vyote hivyo ni haramu,nafikiri ndiyo hasa lengo lake,nimesoma kwa kina habari hii katika mtandao wake

www.jakayakikwete.com/tanzania/articles/503/1/JK
 
Baada ya hapa, MNAWEZA KUPATA HISA ZENU MLIZOWAUZIA HAO WAWEKEZAJI? MBATILISHE UAMUZI au MZINUNUE KWA BEI NAFUU. Mfano, WDL mliuza 25%, mkabakiza 25%. Kwa Kahama Mining mlikuwa na 15% mkauza 10% mkabaki na 5%, na baadaye mkauza hizo 5%, sasa hamna kitu. WAS IT NECESSARY??

Government confirms slashing of 15 percent capital allowance for investors in mining sector

PAUL MABUGA, THISDAY 6 APRIL 2007
Dar es Salaam


THE government has slashed a provision in contracts granting a 15 per cent additional capital allowance on unredeemable capitals, which used to be enjoyed by investors in the mining sector as part of incentives to boost investment.

The commissioner for minerals in the Ministry of Energy and Minerals, Dr Peter Kafumu, confirmed the move - part of an ongoing government review of all mining contracts - to THISDAY in an exclusive interview in Dar es Salaam yesterday.

He said the move is expected to speed up capital recovery by mining investors and help them start recording profits, ultimately increasing their ability to pay corporate tax and withholding tax to the government.

’’The provision was meant to attract investment in the country’s mining sector and appreciate the reality that investors have injected in such huge capitals that they need an attractive relief,’’ said Dr Kafumu.

He said the government now felt the purpose has been served and it’s time for the provision to be removed.

According to Dr Kafumu, experience so far has shown mining companies to be cooperative in the exercise.

The axed provision was contained in the 2004 Finance Act and incorporated in mining contracts between the government and foreign investors, as a strategy to attract capital and technology flow into the mining sector.

Dr Kafumu said under the contracts review, the government has also reached a legally binding agreement which compels mining investors to voluntarily contribute to the national empowerment fund, established by President Kikwete with the aim of improving the economic status of Tanzanians.

On arguments raised by critics that the government is being denied its fair share of revenue by tricky mining companies, the commissioner asserted that the government is not a loser since it collects all respective dues like royalty, PAYE and levies, even when the companies are not realizing profits.

’’We were not ignorant when signing the contracts, only that we tried to create an attractive environment for potential investors, and we had no alternative other than to open doors for foreign investors because we lacked the requisite capital and technology to develop the mining sector ourselves,’’ he said.

Noting that the country could not escape globalization, Dr Kafumu said the problem was that Tanzanians in general are still not used to private ownership and continue to prefer that the country’s natural resources are publicly owned.

’’This is a terrible negative attitude that we must all work to change,’’ he said.

Despite the removal of additional capital allowances, investors in the mining sector still enjoy generous fiscal incentives under the 1998 Mining Act and 1997 national mining policy, including 100 per cent depreciation and exemption on import duty and Value Added Tax (VAT) on equipments and essential materials, for a period of up to one year of their projects’ lifetimes.

Under the law and policy, investors in the mining sector are also allowed to repatriate capital and profits directly related to mining.
 
Bunge halipaswi kufanya kazi ya kupitia mikataba-Nagu

Na Radio One Habari
2007-07-09


Serikali imesema Bunge halipaswi kufanya kazi ya kupitia mikataba kabla ya kutiwa saini ili libaki na uhalali wake wa kuiwajibisha Serikali kwa mujibu wa dhamana ya mgawanyo wa mamlaka, kuchunguzana na kuwajibishana.

Akijibu swali Bungeni Waziri wa Sheria na Katiba Mheshimiwa Mary Nagu amesema kazi ya kujadili na kufunga mikataba ni ya watendaji ambayo kwa mujibu wa Katiba Serikali ndiyo inayowajibika kiutendaji na Bunge ni msimamizi na mfuatiliaji wa utendaji wa Serikali.

Hata hivyo amesema Bunge kama msimamizi Mkuu wa shughuli za Serikali lina uwezo na jukumu la kuweka masharti ya jumla inapobidi na kutunga sheria, kupitisha sera au kuidhinisha bajeti ya Serikali.

Ameongeza kuwa katika kutimiza jukumu hilo tayari Bunge limetunga sheria ya ununuzi wa umma na sheria ya mikataba ambazo huiongoza Serikali katika kufunga mikataba ya ununuzi.

Kuhusu usiri katika mikataba Dakta Nagu amesema iko mikakaba ya aina mbili, ya Serikali na Serikali nyingine na mingine ya biashara ambayo hufanywa siri kwa lengo la kulinda maslahi ya biashara hiyo.

Hata hivyo amesema Serikali iko tayari kupokea maoni na ushauri ili kuongeza uwazi na uwajibikaji bila kulimbikiza madaraka katika chombo kimoja cha dola.


Sasa wanataka maoni na ushauri wakati damge isha fanyika. Kweli Chama Cha Majizi sorry Mapinduzi (CCM) usanii hautaikwisha mpaka hapo sisi wenyewe wananchi tutakapokuwa sireous. Sasa kama hata wawakilishi wa wananchi wanafichwa je sisi walalahoi itakuwaje?????
 
What did you expect from her?..Lol I forgot that she has a "doctorate"
 
Hivi Bunge halina nguvu za kuilazimisha serikali katika maamuzi kwenye masuala yanayogusa interest za wananchi especially when they are wrong.
 
Bunge halipaswi kufanya kazi ya kupitia mikataba-Nagu

2007-07-09 16:22:22
Na Radio One Habari

Hata hivyo amesema Bunge kama msimamizi Mkuu wa shughuli za Serikali lina uwezo na jukumu la kuweka masharti ya jumla inapobidi na kutunga sheria, kupitisha sera au kuidhinisha bajeti


Nadhani tuache ushabiki, Waziri amejibu vizuri Bunge sio watendaji? Bunge linatunga sheria na kanuni, sheria isipotekelezwa... chombo kingine kinafanya kazi yake... nayo ni Mahakama...

Tuangalia mambo kwa mapana yake,,, Kwani wabunge ni wataalamu wa mikataba,,, mbona ndio hao hao wanatunga sheria butu...
 
Hiyo ni politics mzee. Unafikiri wabunge walipohoji hawana akili. Kila mtu anajua tushaliwa halafu anasema watapokea ushauri. Unataka kuniambia mpaka sasa hawajui cha kufanya???? Au ndiyo wanabuy time kwa ajili ya mafuta ya magazetini yakapomaliza mikataba ndiyo waje openly kuwa kweli TZ kuna mafuta.
 
'Sera ya madini Tanzania ni dhaifu'

Na Joseph Lugendo


TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi masikini ambazo wawekezaji wa kimataifa wamekuwa wakitumia mwanya wa udhaifu wa sera ya madini kunufaisha uchumi wa nchi zao huku yenyewe ikibakia na uchumi dhaifu.

Kwa Mujibu wa Ripoti ya Kimataifa ya Nchi Masikini iliyotolewa Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo (UNCTAD) na kuziunduliwa duniani kote mwishoni mwa wiki iliyopita, udhaifu huo umesababisha fedha nyingi za kigeni zitokanazo na uwekezaji huo kubakia nje ya nchi.

Matokeo mengine ya udhaifu wa sera hiyo ni kuwepo kwa uingiaji wa Kampuni za Kimataifa (TNC's) ambazo ni ndogo na za kati kwenye uchimbaji huo ambazo zinatumia vifaa chakavu vilivyokwisha telekezwa.

Ripoti hiyo imeeleza kwamba kampuni hizo zimekuwa na tabia ya kupendelea migodi iliyokuwa inachimbwa kabla ya kuanzishwa kwa sera hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na wachimbaji wadogo wadogo na kampuni za kizalendo kwa kutumia mbinu za uchimbaji za kati za kimakenika.

Kuwasili kwa kampuni hizo kumeelezewa kwenye ripoti hiyo kusababisha kufukuzwa kwa wachimbaji wadogo na wa kati ambao ni wazalendo kutoka kwenye maeneo yanayopendelewa na TNC's yenye wingi wa madini na kupelekwa kwenye maeneo yenye uhaba wa madini.

TNC's zimeelezewa kushindwa kutoa mchango wowote kwenye kuongeza ajira kwa wananchi, kushindwa kukuza teknolojia ya kisasa na zilizopenda kujilundika sehemu moja kijiografia.


Ripoti hiyo imeeleza kwamba sehemu kubwa ya shughuli za uchimbaji madini zinamilikiwa na wageni badala ya kumilikiwa kwa ushirikiano na wenyeji na kwamba sehemu kubwa ya mapato ya wageni hao, hubakia nje ya nchi.


Kuhusu matokeo ya sera hiyo kwenye uchumi ripoti hiyo ilifafanua kwamba shuguli za uchimbaji zimehusisha wageni zaidi, hivyo kuondoa matokeo mazuri kwenye uchumi wa nchi ambayo yangeweza kupatikana kama kwa njia moja au nyingine uchumi wa nchi ungehusishwa kwenye sehemu fulani ya uchimbaji huo.

"Katika maneno mengine shughuli za uchimbaji zimekuwa zikifanyika ndani kwa ndani," alieleza sehemu ya ripoti hiyo.

Kutokana na hali ya kutokushirikishwa kwa wenyeji kwenye uchimbaji ripoti hiyo imeeleza kwamba uzungukaji wa elimu juu ya uchimbaji kutoka kwa kampuni hizo kwenda kwenye kampuni za wazalendo hauwezekani.


Aidha, uchimbaji huo umedaiwa kusababisha ongezeko kubwa la uingizaji bidhaa hasa zinazochochea uzalishaji na huduma ambalo hivi karibuni ongezeko hilo limekuwa likihusishwa na kushuka kwa thamani ya shilingi kutokana na ongezeko hilo kutumia fedha nyingi za kigeni.

Vilevile, ripoti hiyo imeelezea uchimbaji huo kusababisha kuondolewa kwa mazao ya madini na kupelekwa nje ya nchi yakiwa na ughafi wake.


Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, sera hiyo ilianzishwa Tanzania mwaka 1998 na kufuatiwa na nchi ya Mali na Madagascar ambazo zilianzisha sera kama hiyo mwaka 1999. Nchi iliyoelezewa kutangulia kuwa na sera kama hiyo ni Guinea mwaka 1995.

Ripoti hiyo ilieleza kwamba nia ya kuanzishwa kwa sera hiyo ilikuwa ilikuwa kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nchi za nje (FDI) ambayo ilifanikiwa.

Imeelezwa kwamba FDI iliongezeka katika nchi za Afrika iliongezeka mara nne kutoka wastani wa dola za Marekani bilioni 1.7 mwaka 1990 mpaka wastani wa dola za Marekani bilioni 6.8 mwaka 2005.

Kampuni nyingi za uwekezaji zimedaiwa kutoka Bara la Amerika ya Kaskazini, Ulaya na Australia machache kutoka Afrika Kusini na China.

Vile vile bei za madini pia zimeelezewa kupanda katika Soko la Dunia kutokana na kupungua kwa vyanzo vya uchimbaji madini duniani na kuongezeka kwa mahitaji ya bidha za madini hayo kulikotokana na kujitokeza kwa soko jipya la bidhaa hizo kutoka katika nchi zinazoendelea za Bara la Asia na China.

Upandaji bei huo enaelezewa kwenye ripoti hiyo kulazimu kampuni za uchimbaji madini ya kimataifa kutafuta maeneo mengine ya uchimbaji madini na kwamba Afrika ilikuwa eneo pekee kwao.

Ripoti hiyo imetaja vipengele vilivyopo kwenye sera za uwekezaji kuwa ni kubinafsishwa kwa mashirika ya umma yaliyokuwa yakimilikiwa na Serikali, kutolewa kwa taarifa za kijiolojia, kushushwa kwa kodi na mirabaha na kuwepo kwa fursa ya kutokulipa kodi kwa muda.

Vingine ni kuondolewa kwa vikwazo kwa kampuni za kimataifa kufanya kazi nchini, kuanzishwa kwa utaratibu wa kuondoa kodi kwa mashine na vifaa vya kuchimbia vilivyoingizwa nchini, kuondolewa kwa kipengele cha kuwepo kwa kiasi fulani cha wafanyakazi wenyeji kwenye uchimbaji, kuondoa baadhi ya vikwazo kwenye sheria za uhamiaji, kuondolewa kwa vikwazo kwenye ugawaji wa faida na salio na kuwekwa kwa vivutio vingine.


Source: Majira

Tumeshaongea jambo hili siku nyingi sana, lakini kwa vile sisi ni wabongo serikali haowezi kutusikiliza. Tunashukuru kuwa "Wataalam wa Norway" wamewaambia sasa. Je watawasikiliza hawa wa nje?

Rais alipoingia madarakani alisema atapitia mikataba ya madini. Baada ya kutembelewa na Sinclar pale Ikulu, akageuka na kuwaambia watanzania wa Uingereza kuwa "that was the best deal you can get." Hakujua kuwa baadhi yetu tumeshafanya kazi kwenye makampuni hayo ya madini na tunajua yanavyofanya kazi zake.
 
..wajinga ndio waliwao...unafikiri babu zetu walivyosema hivyo walikuwa na maana gani? hakuna sababu yeyote ya Tanzania kuibiwa raslimali zetu zaidi ya ujinga tuu uliowajaa vichwani wale tuliowapatia uongozi wa nchi
 
Halafu tatambiwa ndege ipo on track , right on time, mara mwingine Tena Govern na ujuzi wake wa uchumi atakwambia mambo safi, export ilikuwa ......,wakati ingeweza kuwa kubwa zaidi, tarari nyingi, mwingine atakwambie nilifunga mkataba kwa faida ya nchi.
Sasa hapa ndipo tunapoelewa Serekali nifanya kazi kwa faida ya Nchi au ya hao viongozi na wezi wengine? Na pia ndio utakapo jua una Govern kweli kweli au kanyaboya, na Pia kama una Mawaziri au ??/
 
Tanzania sasa hivi ni sumaku ya mikataba ya madini. Kipindi cha miaka 10 iliyopita kumetokea mikataba iliyosainiwa baina ya serikali na makampuni ya nje katika maeneo mbali mbali ya nchi hasa yale yenye dhahabu na tanzanite; watanzania wengi waliilalamikia mikataba hiyo. Rais Kikwete alipoingia madarakani aliahidi kupitia upya mikataba hiyo kusudi iineemeshe nchi hii.

Hata hivyo sasa hivi yakaribia miaka miwili tangu Rais atoe ahadi hiyo lakini hakuna dalili kuwa mikataba hiyo itapitiwa upya. Siku za hivi karibuni kumekuwapo na kasi sana ya makampuni ya nje kunyemelea madini nchini kama ifuatavyo:

Mikataba ya Madini

Mantra Resources Announces Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania

Wed July 25, 2007, 9:48 am

Original Announcement: Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania Mantra Resources announced that it has entered into agreements to acquire interests in a package of six uranium exploration tenements within the Bahi catchment area in central Tanzania. Under the terms of the first agreement, Mantra will enter into a JV with a Tanzanian partner and acquire a 95% interest in four prospecting licences covering a total area of approximately 770 sqkm. Under a second agreement, the company has purchased outright, two adjacent prospecting licences covering an additional area of 340 sqkm.
More information about MRU.AX

Source: http://au.biz.yahoo.com/070724/38/1btht.html



Atomic Signs Letter of Intent to Acquire Over 2800 Sq. Kilometers of Uranium Property in Tanzania

Wednesday July 25, 9:30 am ET
VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(MARKET WIRE)--Jul 25, 2007 -- Atomic Minerals Ltd. (CDNX:ATL.V - News)(Frankfurt:M7J.F - News) ("Atomic" or the "Company") is pleased to announce that it has signed a letter of intent (the "LOI") with Geo Can Resources Company Ltd. ("Geo Can") to enter into an option agreement to earn the right to acquire up to a 90% interest in a land package totalling approximately 2800 square kilometres located in the United Republic of Tanzania (the "Property"). Atomic paid Geo Can a non-refundable deposit of US$65,000 on execution of the LOI. The two companies have agreed to negotiate a definitive option agreement (the "Option Agreement") by September 14, 2007 subject to the results of Atomic's due diligence on the Property (including the preparation of a title opinion) and TSX Venture Exchange ("TSX-V") approval.

Source: http://biz.yahoo.com/iw/070725/0282327.html

Canaco Completes Tanzania Property Consolidation With Agreement With Local Miners

Thursday July 26, 6:00 am ET

VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA
--(CCNMatthews - July 26, 2007) -
Canaco Resources Inc. (TSX VENTURE:CAN - News) is pleased to announce that the Company has entered into an option agreement with local miners and Magambazi Mines Company Ltd. to acquire a 100% interest in the Magambazi Gold mining licenses, located in the Handeni District, 160 kilometres northwest of the city of Morogoro in the Tanga Region of Tanzania.

......


Source: http://www.marketwire.com/mw/release.do?id=754913


Currie Rose Resources Inc.: Mwamazengo Prospect in Tanzania Continues to Return Good Results

ST. CATHARINES, ONTARIO--(Marketwire - July 26, 2007) - Currie Rose Resources Inc. (TSX VENTURE:CUI) -

Highlights

- MBND008 5 metres grading 2.25g/t gold from 6 metres at Mwamazengo

- MBNR-D003 22 metres grading 2.03g/t gold from 131 metres at Mwamazengo

- MBNR-D004 13 metres grading 3.22g/t gold from 116 metres at Mwamazengo

- MBNR-D007 3 metres grading 29.34g/t gold from 151 metres at Mwamazengo

Currie Rose Resources (TSX VENTURE:CUI) advises that the recent phase of drilling on the Mabale Hills project in Tanzania Africa, which forms part of the Lake Victoria Joint Venture with Australian-listed Sub-Sahara Resources NL, has been completed and all assay results have been returned.

The results confirm the continuity along strike and down dip at Mwamazengo Prospect which forms part of the Mabale project and preparations for a follow-up drilling program have commenced.

The latest results complete the ten hole Reverse Circulation/Diamond (RC/DD) programme (MBND001, MBNR-D002-007 and MBND008-MBND010) totaling 1,144m.

Source: http://www.marketwire.com/mw/release.do?id=755116&k=Tanzania


Uranium Hunter Identifies 10 Uranium Targets on the Ruhuhu Project


TORONTO--(Marketwire - July 26, 2007) - Uranium Hunter Corporation (OTCBB: URHN) ("Uranium Hunter" or the "Company") is pleased to announce that it has now received the Interpretation of Magnetic and Radiometric Data Report commissioned with PGW, consulting geophysicists, of Toronto. This report presents results from applying modern procedures to the interpretation field measurements made in an earlier airborne geophysical survey that included Uranium Hunters' 170 sq km property in the Njombe and Songea Districts of southwest Tanzania.

PGW's work has now identified 10 specific radiometric targets within Uranium Hunter's property that show anomalously high indications of uranium. Adam Cegielski, President of Uranium Hunter, stated, "We are very encouraged by the results of the work by PGW. Now that the dry season has started, we are able to direct our field crew to the specific targets identified by the PGW report. With the spot price of uranium oxide now $120/lb we are looking forward to another strong year for uranium explorers."

Now that specific targets have been identified, Uranium Hunter can move toward field work in the area. Mapping, sampling, and a general follow-up of uranium targets with gamma-ray spectrometry will be the initial focus for the ground crew in Tanzania. Updated images from PGW's report will be added to the corporate website at www.UraniumHunterCorp.com.

...........


Source: http://www.marketwire.com/mw/release.do?id=755028&k=Tanzania


MDN Inc.: Tulawaka Mine Produces 42,893 Ounces of Gold in the Second Quarter of 2007

Distribution of US$ 15M to the JV Participants
MONTREAL, QUEBEC--(Marketwire - July 25, 2007) - MDN Inc. (TSX:MDN) ("MDN") is pleased to announce that the Tulawaka Mine in Tanzania produced 42,893 ounces of gold during the second quarter ended June 30, 2007. Tulawaka gold production now amounts to 82,550 ounces since January 1st, 2007, and a total of 347,815 ounces since the beginning of operations in March 2005.

The gold production results for the second quarter prove to be more than satisfactory in spite of the fact that the mining operations were slowed down in April and May because of heavy rains in Tanzania, and that important works to stabilize the slopes of the pit were completed. The operating conditions are back to normal since June and the production was in conformity with the forecast.

...............


Source : http://www.marketwire.com/mw/release.do?id=754597&k=Tanzania



IAMGOLD Buckreef Project Update-Increased Resources

TORONTO, ONTARIO--(Marketwire - July 25, 2007) - IAMGOLD Corporation (TSX:IMG)(NYSE:IAG)(BSE:IAMGOLD) ("IAMGOLD" or "the Company") is pleased to announce a new resource estimate and exploration update for the Buckreef Project in the Lake Victoria Goldfields Region of northern Tanzania. The measured and indicated resource base now consists of 16.7 million tonnes at an average grade of 1.9 g/t Au for 1.0 million ounces of gold and represents an increase of 9% from resources reported on December 31, 2006(a). At a 1.0 g/t cut off, the total measured and indicated resources on the Buckreef project contain 16 million tonnes at an average of 1.9 g/t Au for 1.0 million ounces Au and an inferred resource of 10.9 million tonnes with 2.4 g/t Au for 0.8 million ounces Au.

.....................

Source: http://www.marketwire.com/mw/release.do?id=754553&k=Tanzania


Orodha ni ndefu sana; hapo nimeonyesha sample tu. Kila mara itakapofikia serikali kuingia mikataba, bado itafanyika kwa siri bila hata Bunge la nchi kujua; ndiyo maana Karamagi akaenda kusaini mkataba wa aina hiyo tena nje ya nchi tena kwa siri sana. Inawezekana hakutaka wananchi wajue kuhusu mkataba huo.
Nina maswali mawili tu:


  • Kama tutakuwa na serikali za aina hii hii kwa miaka 30 ijayo, je watanzania kweli watakuja ona faida ya kuwa na madini yale kwa kuondokana na ufukara uliokithiri kiasi kuwa na wao wataweza kurukia kwenye ile ndege iliyokwisha paa?
  • Endapo serikali itakayofuata itakuwa ni ya wananchi kweli kweli, je itakuwa ni busara kwao kutumia Mugabeism kuweka masharti mapya ya mikataba yenye kuliingizia taifa mapato ya kutosha kupambana na umaskini. Na je ikifanya hivyo kweli kweli, nchi za Magharibi nazo zitaiwekea vikwazo kama alivyobanwa navyo Mugabe? Kumbuka kuwa kwa unyonge wa nchi zetu, hata vikwazo vidogo tu vya kunyimwa mkopo vinaweza kuwa na madhara makubwa sana.
 
Kichuguu,

Tunazingatia vile vile kwamba URANIUM ni kitu nyeti. Kinatakiwa kwa nuclear energy, na nchi zinaoelewa vizuri haziruhusu URANIUM kumilikiwa na watu wa nje.

Kwa sasa, Marekani inaiombea India kibali cha kuuziwa URANIUM na Australia. Ili kulinda hayo, India imelazimika kuongeza sana urafiki na Marekani.

Kampuni ya nje kama Mantra Resources kuwa na controlling interest dhidi ya URANIUM Tanzania ni kitu kinapashwa kuwa kinyume cha sera zetu za usalama wa taifa. URANIUM sio kitu kama chuma ambacho haijalishi ni nani anacho. NI KITU CHA HATARI. Kinapashwa kuwa 100% chini ya serikali.

Naona kila kukicha tunazidi kuwa kama Zaire ya Mobutu.

Augustine Moshi
 
Moving to Arusha? Oh no!
By Our Correspondent

South African-based Tanzanite One Limited has announced the resignation of its chief financial officer, Mark Summers, after rejecting a transfer to Tanzania.
According to London's Thomson Financial newspaper, Summers will continue on the board of Tanzanite One Ltd in South Africa, as a non-executive director.

''The (resignation) decision was prompted by the company moving its African administration office to Arusha in Tanzania, while Summers chose to stay on in South Africa,'' the newspaper reported.

A Tanzanite One Ltd statement said Summers would continue to have non-executive oversight over financial accounting, and the company would appoint a finance director in due course.

Tanzanite One is the leading mine operator at Mererani in Simanjiro District, Arusha Region, known to be exclusively the only source of the unique tanzanite mineral worldwide.

The privately-owned company took control of the largest tanzanite mine at Mererani, known as 'C-Block', in 2005.
That mine has reportedly already reached a depth of 1,000 feet and there is growing concern that the supply of tanzanite could be depleted in a few decades.

The world's largest tanzanite crystal was found in Tanzanite One's 'C-Block' mine in 2005. The crystal weighed 16,839 carats and measured 22 centimetres at its widest point.

Small-scale miners in the Mererani area have frequently alleged that the South African company has established a De Beers-like control over the local tanzanite trade by intentionally restricting supply and distribution.

According to mining industry analysts, this is the first coloured gemstone whose sales and distribution have been controlled in the way that diamonds have been.
Only last week, an opposition legislator declared in the ongoing parliamentary budget session in Dodoma that the current trend of tanzanite mining activities in the country was tantamount to a national embarrassment, reported the Guardian.

The shadow minister for energy and minerals, Mohamed Habib Mnyaa (Mkanyageni - CUF), told the august House that the country was continuing to earn meagre revenues from export sales of the valuable gemstone that is uniquely Tanzanian. He quoted 2005 global export figures showing that out of total annual sales figures for tanzanite gemstones amounting to $400m, Tanzania received a mere $16m.
=====================================

Hii iko Arushatimes http://www.arushatimes.co.tz/local_news_6.htm

Ona sasa zimeuzwa tanzanite za $400 million, sisi tumeambulia $16 million (ni 4% ) basi.

Kama nilivyolinganisha siku za nyuma, ni kwamba Tanzania imekuwa kama mtu anayebakwa, na CCM imekuwa mshikiliaji.
 
Ona sasa zimeuzwa tanzanite za $400 million, sisi tumeambulia $16 million (ni 4% ) basi.

Kama nilivyolinganisha siku za nyuma, ni kwamba Tanzania imekuwa kama mtu anayebakwa, na CCM imekuwa mshikiliaji.


............... CCM ni Pimp, Tanzania tumefanywa .........


Ingekuwa kwa Mugabe, wangebakiza $180m, na bado wanafukuzana kwenda kule pamoja na dictotorial hand ya Mugabe.
 
Kama nilivyosema katika artical ya Benki kuu wakati fulani serikali ifanye hatua za makusudi kununua Tanzanite yote inayochimbwa pamoja na Gold yote kwa muda ya miaka mitatu (3).

Hii itawezesha shillingi kustabilize kwa kutumia rasilimali zetu wenyewe na kuepusha upoteaji wa takwimu sahihi za uchimbaji.
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana ni kwa nini maswala yote yanayohusu mikataba yasiwekwe wazi. kwa wananchi wote wajue na ikibidi kupata nafasi ya kuchangia mawazo.kwani yote yanatakiwa kuwa kwa manufaa ya Taifa na si watu binafsi.Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania.
 
Kama tutakuwa na serikali za aina hii hii kwa miaka 30 ijayo, je watanzania kweli watakuja ona faida ya kuwa na madini yale kwa kuondokana na ufukara uliokithiri kiasi kuwa na wao wataweza kurukia kwenye ile ndege iliyokwisha paa? [/SIZE]

JIBU: Kutakuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kabla ya hiyo miaka 30 kuisha. Huenda vita vikahusisha nchi jirani pia. Dalili zinaongezeka kila kukicha...

Kama "majambazi" sasa wanaweza kuwa na silaha za kivita na mabomu (ref. Arusha incident),

kama baadhi ya makampuni ya wawekezaji (uwindaji na madini) yana walinzi wake wa kigeni wenye silaha za kivita (including Gurkas from Nepal), na kama maeneo hayo hata viongozi wakuu wa serikali (e.g. DC) hawaruhusiwi kufika,

kama baadhi ya wawekezaji wanaomba maelfu ya hekari za ardhi "eti kwa kilimo cha miwa" (ili wapate biofuel),

kama wakimbizi wanajeshi zaidi ya 100 (from as far as Somalia) wanakamatwa kilomita kadhaa ndani ya nchi,

kama wawekezaji wana viwanja vyao vya ndege ambako wanatua na kuondoka bila usimamizi (e.g. Serengeti and Loliondo);

kama kuna ukweli katika filamu ya mapanki (Darwin's Nightmare) iliyodai kuna silaha zinapitia Mwanza kabla ya kwenda kwenye nchi za Maziwa Makuu, na huenda baadhi ya silaha hizo zinaishia kwenye mapori ya Biharamulo na Karagwe;

kama kampuni moja ya madini inahodhi ardhi ambayo ni zaidi ya nusu ya eneo lote la wilaya za Geita na Kahama (ref. Sinclair)...

na kwa kuzingatia ukosefu wa ajira, kuongezeka ugumu wa maisha na umaskini kwa ujumla kwa watu wengi,

na kama polisi wanaonyesha kukata tamaa kutokana na mafao kiduchu, na kama wimbi la askari (ikiwemo wastaafu wa JWTZ)wetu kujihusisha na vitendo vya ujambazi ikiwemo kuuza na kukodisha silaha, ref. NMB robbery at Ubungo-Mandela Rd; risasi kuuzwa ndani ya gesti Mwenge Mlalakuwa)...na mpaka sasa hakuna CMI...

na kwa kuzingatia kauli za baadhi ya wanasiasa kuwa wako tayari kuacha wajane...mpaka kieleweke...

sasa tuko kwenye "conditions necessary for a take-off to a flight of a long, armed conflict" (God forbid?). Na hapo ndipo jamaa watajichimbia hayo madini kama watakavyo, usiku na mchana! My poor Tanzania!
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana ni kwa nini maswala yote yanayohusu mikataba yasiwekwe wazi. kwa wananchi wote wajue na ikibidi kupata nafasi ya kuchangia mawazo.kwani yote yanatakiwa kuwa kwa manufaa ya Taifa na si watu binafsi.Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania.

Wakuu wameshaamua kwamba Watanzania hatuna haki yoyote ya kujua details za mikataba ya madini ambayo ni rasilimali ya Watanzania wote. Wao wanaona kwamba madini hayo ni ya kwao pekee yao hivyo wao tu ndio wanastahili kuzijua details hizo. Kama kweli mikataba hiyo ilisainiwa kwa manufaa ya Tanzania na Watanzania kwa nini inaendelea kufanywa siri kila kukicha?
 
Mwalimu alishauri kampuni za kigeni zisiwe na zaidi ya asilimia 40% katika madini yetu wakamwona kuwa amepitwa na wakati. Viongozi wa sasa wa CCM ni wasaliti wakubwa kwa Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom