Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili iweje? Unampostia nani? Unamjulisha nani ambaye hajapata hizo taarifa kwamba Makamu wa Rais Mteule ni Deo...
Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
ni uhuni mimi nimefanya kazi benki, hiyo ni michezo ili wapate deposit ya siku moja ambayo ni faida kwa benki. Wahuni hao wanaachilia mshahara usiku ili usiutoe leo uutoe kesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.