Naomba na mimi unichambulie je ni slave work au lah .. malipo 450k kwa mwezi nssf 50k ya mwajiri + 50k ya mfanyakazi .. jumla 100k .. yani hapo umelipwa 450 k nssf 100k .. masaa 12 ya kazi .. nauli hutumii .. makazi umepewa .. Je huu ni unyonyaji au lah
Hatari kaka .. sasa kama mkojani anawania kiti temeke .. yani ukishajulikana kidogo mjini bhasi ... na wengi wao hawana hata form four .. hawa ndo tunategemea wakatutungie sheria za kuongoza nchi ni balaa tupu
Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..
Sio kweli .. China ni taifa linaloinukia kwa sasa .. na kumbuka mchina miaka ya 60 alikua chini mno ilhali hata kuifahamu China yenyewe haikua rahisi .. muarabu .. mzungu na mhindi ndo watu walikua wametoka na kuonekana huku kwetu ilhali hadi leo wahindi wanatamba kwenye maghorofa ya kila...
Ni mda kidogo kipindi tupo primary.. yeye alikua sec .. uwanja tulokua tunatumia kuchezea mpira jioni ulikua karibu na home kwao ilikua ni kota za nhc walipauzaga wakahama .. kuna mshkaji alikua kila jioni lazima aje apige naye stori ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.