Recent content by Mike-Austin

  1. Mike-Austin

    Ilani ya CHADEMA 2010-2015

    wandugu tuwekeeni attachement ya hiyo ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHETU-CHADEMA, 2010
  2. Mike-Austin

    GE2010 CCM sasa yadai JK hakukataa kura za wafanyakazi

    Hivi Tambwe ni msemaji wa serikali au wa CCM?...kwani Rais alikuwa akiongea kama Serikali (japo kwa TZ hakuna tofauti ya chama na serikali), au ndio J.K anamuandaa Tambwe kuchukua nafasi ya Salva Rweyemamu?...coz isije ikawa J.K ndio anajitenga na ma-sponsor wake wa enzi zileee za kipindi kile
  3. Mike-Austin

    JK apingwa kortini kugombea urais 2010

    “….ujio wa Jakaya na mtazamo wake wa masuala mbalimbali umeonyesha kuwa ile chachu ya maisha bora kwa kila mtanzania imeshindikana. Ile ndoto tuliyokuwa nayo ya kuipeleka mbele nchi yetu, naamini wakati wake umewadia kwa kuwashukuru watu kama hawa wanaowaza kumtoa Jah-Kaya kwenye urais ili...
  4. Mike-Austin

    GE2010 JK na Makamba wamuhofia Dr Slaa

    Mie sishangai kwa wao kusihiwa hoja, lazima wamuogope......pata picha J.K mojawapo ya hoja zake ni kuwa amewaletea maisha bora watanzania kwa sabaabu ya foleni za magari DSM, real president? VIVA MPIGANAJI SLAA Alitoa kauli hiyo tarehe 19 July 2010 wakati akizungumza katika mkutano...
  5. Mike-Austin

    Kauli ya Yusuf Makamba mnaionaje?

    Amakweli kale ka-msemo "Mume wa mama ni baba"; ndivyo inavyoonekana CCM Vs Makamba. Ila hakika ni kipimo duni cha uongozi kama alisema hivyo, meaning chama ni chake na familia kwani angeshindwa ingekuwa aibu kwa familia.
  6. Mike-Austin

    GE2010 Kipengele cha 'kadhi' chapigwa 'x' ilani ya CCM!

    Waislamu wanatakiwa kulishughulikia hilo katika imani yao na si ndani ya Serikali. Mbona madhehebu mengine ya Kikristo yana utaratibu wa kuwaandaa viongozi wao wa dini kupitia vyuo mbalimbali? Wameanzisha masomo ya dini katika vyuo hivyo na ndiko wanakopata maelekezo ya kusimamia taratibu zao za...
  7. Mike-Austin

    Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

    Unataka kugoma?, wewe peke yako labda. 1. Unataka ukamuangalie KAKA; ROBINHO etc kwa TZS 5,000?, sio wakina MGOSI hao......tambua thamani ya starehe, kwanini usiseme Ngasa kusajiliwa kwa TZS 58mil ni nyingi leo wasema wanaosajiliwa kwa USD 58mil ni anasa? 2. Thamani kubwa tutatangazwa...
  8. Mike-Austin

    GE2010 JK ametufanyia nini miaka hii 5 hadi tumchague?

    Ukweli ninaouona, unashawishi niamini ni rais Kikwete anayeweza kuwa amevunja rekodi kwa kuwa kiongozi aliyeongoza serikali iliyoshindwa kuliko watangulizi wake. Mfano Elimu/shule za kata ambazo badala ya kutoa wana-taaluma inatoa wajanja wa baadae. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema...
  9. Mike-Austin

    Hivi inakuwaje gari ya rais inachomoka tairi?

    Tunapoelekea taifa litapata hasara kubwa kuitisha uchaguzi kwa kufiwa na presidaa....ni aibu, kituko cha karne. Mbaya zaidi yote yanafanyiwa service Toyota penyewe, na Tax-Invoice ya mamilioni kwa mwezi...hakika mwenye shoka hakosi kuni
  10. Mike-Austin

    Brazil to play Tanzania in a friendly

    Brazil we know?no matter what hata kama ni kisiasa tuta-enjoy de value of our stolen money......nahofia isije ikawa kama tulivyosikia presidaa bro JK kuwa REAL MADRID wangetua TZ mpaka leo hata hao Portsmouth hawajafika, au wasije waleta wakina Rolaldhino na akina Pato walioachwa timu ya taifa.
  11. Mike-Austin

    Nahodha: Iko siku CCM itang'olewa

    Bravo VUAI.....hakika umewavua wenzio kwenye dimbi la mawazo hasi, na kwa yanayotokea TZ kwa sasa sina shaka hata 2020 haitofika. Unafaa kuwa Rais wa Zanzibar, au mpaka Karume akuambie nenda kajitizame kwenye kioo uone kama unafaa kuwa rais?..Much Lav
  12. Mike-Austin

    Anayefahamu kuhusu kifo cha Kibo Marealle naomba atushirikishe

    sababu ya kifo aijuay mola, binadamu tujiandae....si kila afaye ni mgonjwa mahututi na si kila mgonjwa mahututi hufariki.....si kila aliyehai ni bukheri wa afya na si kila aliyekufa alikuwa mgonjwa.....si kila aliyevitani hupoteza maisha na si kila aliye katika amani hubaki hai. ....... Kwa...
  13. Mike-Austin

    Sababu ya Umasikini wetu kwa mujibu wa Mh. Benard Membe

    Kama hata Presidaa hajui sababu ya umasikini wa nchi yake, unategemea MAEMBE akujibu nini?...nchi ishauzwa
  14. Mike-Austin

    Sababu ya Umasikini wetu kwa mujibu wa Mh. Benard Membe

    JK Haelewi kwanini Tanzania bado maskini Mheshimiwa njoo JF upate sababu: * Asema anajiuliza swali hilo kila siku bila jibu * Apinga fikra za siasa za ujamaa kuwa tatizo * Aeleza mikakati ya kuimarisha sekta ya kilimo *Akiri kuna kipengele katika madini hakimfurahishi Na Waandishi Wetu...
Back
Top Bottom