Kinachoendelea hata humo ndani ya CCM kwenyewe hawaaminiani kama zamani kinachosubiliwa ni muda tu.Nadhani wanaweza kukubaliana na mie kuwa sasa dalili ya mvua ni mawingu na dalili ya CCM kupasuka tunaanza kuiona vema umelisema nahodha maana najua unalijua hilo
Umenena vyema kuwa kinachotakiwa kubadilishwa ni system si chama lakini sikukuelewa uliposema hakuna lolote kwenye hii thread ulimaanisha mawazo ya Nahodha hayana maana au wanaochangia hii thread hawana maana yeyote.Tatizo nadhani sio chama gani kipo madarakani, bali ni mfumo upi unaotawala ambao unaeza kuisaidia nchi kusonga mbele, ukweli ni kwamba with current system, kubadilisha chama ni sawa na kumtoa sultan mmoja na kumueka mwingine, as simple as that. Kama mnabisha angalieni yaliyotokea Zambia kwa Chiluba, na Kenya kwa NARC et al. IMO,Hakuna lolote la maana kwene hii thread.
I think ni viongozi wazuri tu, labda unatumia macho mawili tu kuangali mtu yuko je. Wakati mwingine fungua macho ya ziada hasa yale ya ndani ya kuweza kutathmini kitu zaidi ya uonavyo kwa macho ya kawaida au ya jinsi wazee wa Diamond Jubilee wa JK wanavyoweza kusikia na kuona mambo!Kiranga,
Ujana si panacea. Waangalie akina Ngeleja, akina Masha. Hawa kweli unaweza kusema kuwa ni viongozi wenye vision wanaoweza kuisukuma Tanzania kwenye neema?
I don't think so.
Mkuu nami ndilo ninalojiuliza always.Swali: Ni lini CCM itaondolewa madarakani?
Baada ya miaka 10? 20? 50? 100? au?
Si muda mrefu kitaeleweka tu!"Wapo wana CCM ambao kimtazamo wanaona sisi ndiyo wenyewe, kumbe wenye chama ni wananchi wanaowatawala. Tuna kila sababu ya kuwa makini katika utelezaji wa majukumu yetu… jambo hili nawaambia si kweli,"
Nanu hivi tunaweza kujivunia nini kwa viongozi vijana kama kina Ngeleja, Macha, Nahodha...., mfano kwenye nishati kuna mabadiliko gani na ndani ya Mambo ya ndani ikiwemo polisi kuna nini ukilinganisha na awamu iliyopita.Unaposema hawafai toa weakness ya kiutendaji tangu wamepewa nafasi ya uongozi. Tusitumie, feelings kuwahukumu wengine tutumie bongo zetu na facts ambazo unaweza ku-"substantiate".
CCM ipo njia panda, hilo tamko la Waziri Kiongozi wa Serikali ya Zanzibar na kada wa chama ni mwanzo wa mwisho wa kuitawala Tanzania.
Jasusi,
By no mean did I imply that they have a vision, the idea of a "vision" -I am so glad you mentioned it- is so foreign, hata waliokuja na visions zao inabidi wazibwage na ku "go with the flow"
Once in a million times they get it right, whether by design, happenstance, coincidence au Machiavellian machinations.
Naona kama ni rahisi kwa hawa vijana - with all their flaws, Rose Garden shenanigans and ATM fracas- kukubali ukweli kuliko wazee.
Kama haya maneno yako accurate, Nahodha amesema kitu unprecedented by CCM mortals , so far mtu pekee aliyewahi kusema kitu chenye akili za "country first CCM second" in this style ni Nyerere, sikumbuki mwingine, labda mnisaidie wakuu.
To be fair Mwinyi naye amenifurahisha juzi alipomlipua KIkwete kwenye hadhira pale Feza mbele ya watoto na wageni wa kimataifa. Naona anachukua gravita ya elder statesman na ku rise above party politics
Huyu jamaa kaongea essentially kwamba CCM is not infallible, ni kama mkatoliki kusema "Papa usijisahau" implyinmg that the Pope is not infallible contrary to Catholic doctrine, Nahodha anasema in fact CCM is prone to "kujisahau". Rather vague and non-specific, lakini katika nchi yenye kusujudia chama kama Communist China hii kauli ni kubwa kuliko ilivyokuwa reported.
Hususan ukizingatia kuwa wenyewe ndani ya CCM wanaweza wasiipende kwa kuona kama jamaa anawachulia.But "none a dem can fight the hands of time".
Somebody mentioned entropy earlier today, this is it at work. Any closed system will always move from amore ordered to a less ordered state. THat is an undisputable truism.Just as the arrow of time in this space-time continuum always move forward, and never backwards.
Ushawahi kulala usiku wa leo na kuamka asubuhi ya jana? Haiwezekani.
Wakoloni warudi mara ngapi Miss annie wapo lakini kwa sura tofauti kabisa wanawatumia viongozi wetu kama walivyokuwa wanatumiwa watemi wa enzi hizo, solution ni kupata kiongozi mmoja kichaa lakini awe mzalendo kama Iddi Amini hapo ndipo heshima itakaporudi.mimi naona kwa nchi kama Tanzania,hakuna chama wala mtu yoyote atakayeongoza bila kujilimbikizia,hata kama CCM waking´olewa,the next regime itakuwa hivyo hivyo,uzalendo hamna kabsa siku hizi.
SOLUTION:Tuwaombe wakoloni warudi kuchukua nchi kwa miaka kadhaa mpaka hapo kutakapo kuwa na equal distribution of nation income/cake,chukua mfano wa hongkong......au wadau mnaonaje?
Bibie,mimi naona kwa nchi kama Tanzania,hakuna chama wala mtu yoyote atakayeongoza bila kujilimbikizia,hata kama CCM waking´olewa,the next regime itakuwa hivyo hivyo,uzalendo hamna kabsa siku hizi.
SOLUTION:Tuwaombe wakoloni warudi kuchukua nchi kwa miaka kadhaa mpaka hapo kutakapo kuwa na equal distribution of nation income/cake,chukua mfano wa hongkong......au wadau mnaonaje?