pole masha....kila mtu,huwa anaface chalenging time..jikaze!
sijaona lolote la serikali ya JK la kuni impress..
km issue ni utendaji mbovu,wote wako guilty,including JK mwenyewe,so wote wawe nje!ala!
uchaguzi 2010 ndio huoo umekaribia,no wonder tunataka kuonyeshwa kuna linalofanyika...