I am scared!!

I am scared!!

hiki kijamaa sijui cha San fransinco....

ombea huyo kelly asiwe huyo mata**..

trust me,NITAMTAHIRI NA CHUPA..

nasema peupeeeeeeee!..mmesikia..?

hayo ya san fransinco au mwanelumango,tutayaongea baadae...
 
ombea huyo kelly asiwe huyo mata**..

trust me,NITAMTAHIRI NA CHUPA..

nasema peupeeeeeeee!..mmesikia..?

hayo ya san fransinco au mwanelumango,tutayaongea baadae...

Mzee unachafua hali ya hewa hapa!! Please give us breath
 
Sometimes you're uptight, maan!! Angalia usije ukampa dada wa watu pengo, badala ya mwanya alionao 🙂

Hahahahaaa...u funny...but you know what....mdomo wa Cupcake wangu ni the right size! Lol
 
Pole sana Kelly. Take it as a challenge. Katika maisha challenges zinatufanya tujiweke sawa au kurekebisha kile kinachowezekana ambacho tulikosea au kupanga vibaya ili tuendane sawa na mahitaji/matakwa yetu. Cha msingi na muhimu ni kumshukuru Mungu kwamba hujadhurika - mwili/akili/roho. Angalia pale ambapo labda ulikosea ili urekebishe km vile wengine walivyoadvise. In times like these we need friends. Thank God, you have wa kumwaga thru JF.
Mungu akurudishie amani yako uliyokuwa nayo ili uendelee na maisha yako. Tunakupenda kama vile unavyotupenda.
 
Sometimes you're uptight, maan!! Angalia usije ukampa dada wa watu pengo, badala ya mwanya alionao 🙂

hahahaha duh!....Neemah umeniacha traffic light hapa mmmh is all i can say...lol!....ok!
 
hahahahah!....Cupcake yaani i have to find this Neemah....she is such a character you know...-🙂

Oh, dada, I'm not an alien! You just try to imagine me as you did others, and I'll be just b4 ur I's.

Nialike tu kwako, nitakuja kukupa company, but you gotta have a big library there -- of diverse subjects.
 
Pole sana Kelly. Take it as a challenge. Katika maisha challenges zinatufanya tujiweke sawa au kurekebisha kile kinachowezekana ambacho tulikosea au kupanga vibaya ili tuendane sawa na mahitaji/matakwa yetu. Cha msingi na muhimu ni kumshukuru Mungu kwamba hujadhurika - mwili/akili/roho. Angalia pale ambapo labda ulikosea ili urekebishe km vile wengine walivyoadvise. In times like these we need friends. Thank God, you have wa kumwaga thru JF.
Mungu akurudishie amani yako uliyokuwa nayo ili uendelee na maisha yako. Tunakupenda kama vile unavyotupenda.

Kelly, maneno ya Maumau ni SADAKTA nikiongeza chochote au lolote nitaharibu. may I just pray for the BEST.
 
Neemah anaonekana yupo fasta eeeh, ukishangaa atakuputa huyu cupcake wako....LOL

Hapana, siwezi kufanya hivyo! Kwanza mwanaume wa mwenzangu namuona km sumu. Pili, sijaamua kuwa na mtu. Bado nipo nipo tu! Searching 4 my own life.
 
Kelly, maneno ya Maumau ni SADAKTA nikiongeza chochote au lolote nitaharibu. may I just pray for the BEST.

That is very true...maneno ya maumau nimeya-take into consideration aisee....great advice and very touching...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom