Ila ndugu kama tukiongea football ni ipi tuseme sababu ya kushangaa kuona mchezaji akiwa jukwaani kisha baadae kushiriki mchezoni kama kuna sheria ipo against hiyo ni ipi ili tujifunze wote
Ila pili ndugu watu wanaanzia kusema dk6 kuongezwa ni nyingi sasa swali linakuja kwamba je hizi dk6 ni...
Wadau natumaini wote mpo salama.
Samahani je ni sawa kwa mwajiri kusitisha mkataba wa miezi 8 mbele kwa sababu za kiuendeshaji na kudai ni lazima mwajiriwa aweke sahii katika hati ya makubaliano kuwa anakulipa mwezi mmoja mbele lkn hayo ni maamuzi ya mwajiri je mimi Kama mwajiriwa haki zangu...
Kama umefanya reset na indai ufanye update basi connect to a WiFi network Alafu run hiyo update . Kama kuna update ya firmware ipo available basi itafix hizo error messages ila kama amna updates basi inabid ufanye kuweka upya firmware which possibly inaweza kuondoa tatizo
Habari Za saa hizi wana JF .
Hivi sasa nipo Magomeni hospital kwa kumuona daktari lakin nilichokuta hapa Ni mambo ya ajabu. Yani lisaa lizima watu wapo kwenye queue kwa maana daktari Ni mmoja kwa usiku Na wagonjwa Ni wengi wakiwemo watoto . Je mnaonaje kuhusu hili Na imagine we ndio upo hapa...
Tunahitaji serikali ya mipango na maendeleo lakini kwa mwelekeo huu nchi itaangukia pua wafanyabiashara ambao wameajiri zaidi ya watu elfu mbili ambao wanachangia kiasi kikubwa leo hii hawadhaminiki, serikali ya viwanda imeperuka, ajira hakuna, nyongezaa za mishahara kwa wafanyakazi hakuna kila...
Naomba msaada kwa yoyote anaejua bei ya manunuzi kwa kila kreti za pepsi na kama kuna idadi flani ya kreti ukichukua kuna kuwa na discount ? Msaada tafadhali
Habari za humu ndani wana JF. Natafuta mtu Tour guide mwenye uwezo wa kuongea na kuandika kituruki.kwa maelezo zaidi Tuwasiliane humu tafadhali +255653405474
Mkuu kuna hii itakuwa fresh kwa automible engineering . But ni used Pc
Hp ProBook6450 Corei5
500Gb
4Gb ram
#480,000/=TSHS
+255653405474
WWW.FAHARIHOST.COM
E:support@faharihost.com
Facebook page : faharihost
No way to do that apart from interview with Apple apprived agent cause the id of icloud is stored on the motherboard of the device . So you have to answer the security quenstions for your icloud account approval
Fanya hard reset by pressing volume up +power button
Kisha tumia volume up & down buttons kufanya navigation
Select wipe data and reset phone , by pressing power button to select
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.