NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
(1) Mchezo wa Simba sc vs APR hapa Kuna tukio lilinishangaza Mchezaji Onana hakuwepo hata sub, na nilimuona Jukwaani lakini mchezo ulipochezwa dakika 45 za kwanza kumalizika kwa timu bila kufungana Cha kushangaza kipindi Cha pili Onana aliingia uwanjani na kulisakata kabumbu kwa kweli hili lilinishangaza sana na kunidharau hii michuano ya Mapinduzi cup.
(2)Mchezo wa Mlandege vs APR ya Rwanda, Kuna goli lilifungwa lilikua ni clear kabisa bila ya kupepesa macho Cha ajabu marefa wote walikaa kimya na kufuata maamuzi ya Refa wa Kati kuwa siyo goli, niliona APR wamehujumiwa waziwazi bila kificho.
Kocha wa APR alisemakuwa "hatutoshiriki Tena michuano ya Mapinduzi cup kutokana na uhuni wa marefa kuchezesha mpira kwa kupendelea"
NALIA NGWENA naungana na APR ya Rwanda na kusema kuwa sitopoteza muda wangu kuangalia michuano ya Mapinduzi cup kipindi kingine.
(3)Singida fountain gate vs Simba sc ile Kona waliyopewa Simba sc na kusawazisha kwa akili ya kawaida marefa walikuwepo walitaka Simba sc washinde na kweli walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwa kuhakikisha Simba sc inashinda.
SINGIDA walihujumiwa kwa silimia mia wao walistahili kucheza fainali na si Simba sc.
Nawasilisha hoja.