nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 355
- 582
Mkuu anza na laptop yeyote yenye dedicated graphics card za Nvidia (with CUDA cores) mfano HP pavilion dv7(GT 650M, Core i7 3036QM) lakini wakati huo kuendelea ujitahidi ku-save pesa kwa ajili ya mashine nzuri itakayofanya kazi kwa ufanisi zaidi. Asikudanganye mtu, nyenzo duni za kazi ndiyo chanzo cha watu kukata tamaa na kupata matokeo mabovu ya kazi.
Jibane mkuu mbeleni upate workstation zenye NVIDIA QUADRO kwa ajili ya kazi nzito kama engine simulation n.k
This is a one time investment ni bora akajikusanya ili achukue machine ya uhakika.