Recent content by Mhandisi wa Umeme

  1. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa ku-upload CV yangu kwenye website ya NMB

    Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
  2. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutibu pumu kwa njia ya mitishamba

    Huo sio ushirikina kweli? Maana kama narudisha mifupa kwako
  3. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutibu pumu kwa njia ya mitishamba

    PM ni kitu gani? Mimi sielewi
  4. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutibu pumu kwa njia ya mitishamba

    Jamani naombeni anayemfahamu mtu anayetibu pumu kwa kutumia miti shamba anijulishe
  5. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Interview ya kazi-veta( center principal)

    Wakuu habari zenu naomba mwenye taarifa na shortlist ya post ya CENTRE PRINCIPAL-veta zilizotangazwa may, 2017 ni lini? Shortlist ya post zingine zimeshatoka tayari. Natanguliza shukurani wakuu.
  6. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

    Pole sana mkuu, mtafute mshenga wako muongee pamoja na wakwe zako
  7. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Cisa exam review classes - xmas & new year offer

    Hi up there, Hii kampuni imesajiliwa kuta CISA?
  8. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Wewe ndio mshamba dada yangu, wakati tunapambana na janga la ukimwi nyie mnalazimisha kutembea na waume za wenzenu, kwanini? Huyo jamaa yako hakutoshi? Nakushauri kama humpendi jamaa yako basi achana nae rasmi utafute mwanaume mwingine mnayependana na si mume wa mtu. Otherwise unataka kuambukiza...
  9. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Toyota raum, probox 2004 na succeed

    TOYOTA ist is much better in any way!
  10. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    Ameeeeeen
  11. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba.!b-)

    waambie dada na shangazi zako wakutafutie
  12. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa--tabata segerea, dar es salaam

    Habari wakuu, Mimi nauza nyuma iliyopo tabata segerea, karibu na kota za nssf. Nyumba ni ya kisasa, ina vyumba vitatu ikiwemo materbedroom kubwa sana, sitting room kubwa, dining room, kitchen, store, jiko na uwanja mkubwa wa parking. Nyumba hii ni mpya haija hamiwa. BEI: 150,000,000 Tsh...
  13. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa---tabata segerea--dar es salaam

    Nauza nyumba, ipo tabata segerea-Dar es salaam karibu na nyumba mpya za maafisa magereza za segerea. Nyumba ni mpya kama inavyoonekana kwenye picha. Nyumba ina sifa zifuatazo: 3 bedroom including master bedroom, sitting room, dining room, kitchen, store, public toilet etc. It has enough...
  14. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa--tabata segerea-dar es salaam

    Habari wana jamii, Nyumba inauzwa yenye sifa zifuatazo: 3 bed room including Master bedroom, sitting room,dining room,kitchen, public toilet,store etc. Also the site has enough space for car parking (up to 5 car) 25m2. Kiwanja kipo maeneo ya juu. Nyumba bado ni mpya haijahamiwa. Kwa...
  15. Mhandisi wa Umeme

    JamiiForums Tanzania Government salary scale pgss 15-16 ni sawa na shilingi ngapi ????

    nisaidieni waungwana, mbona kimya?
Back
Top Bottom