Nimeshindwa ku-upload CV yangu kwenye website ya NMB

Jan 6, 2012
31
4
Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
 
Kwann ikatae hebu screen shot wanaleta ujumbe gani
Hiyo CV yako umeiweka kwa PDF Fanya hivo kwanza
 
Back
Top Bottom