Government salary scale pgss 15-16 ni sawa na shilingi ngapi ???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Government salary scale pgss 15-16 ni sawa na shilingi ngapi ????

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mhandisi wa Umeme, May 11, 2012.

 1. Mhandisi wa Umeme

  Mhandisi wa Umeme Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wakubwa habarini,

  Kwa heshima na taadhima naomba yeyote anayejua mshahara wa serikali PGSS 15-16 anifafanulie.
  Pia kama mtu analipwa hiyo ngazi kuna incentive gani?
  Natanguliza shukrani.
   
 2. Mhandisi wa Umeme

  Mhandisi wa Umeme Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nisaidieni waungwana, mbona kimya?
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hawajaona wanaojua usikate tamaa.
   
Loading...