Na-declare interest, sina upande wa kisiasa ambao labda naupigia chapuo...hakuna mwanasiasa ambaye mimi kama mimi binafsi namuamini 100%...hayupo...! ispokua mimi nimezungumza kwa ujumla tu.
Lakini huyu Makamba anapozungumzwa kwa mazuri yake machache tunaisema nafasi yake kuwa azungumzi kama...
Wakati Mwl. Nyerere anaelekea kustaafu alienda Chuo kikuu DSM na akapanga kuzungumza na wakuu na waadhiri wa chuo... moja ya maneno aliyowaambia
"Kiongozi wa nchi anatokana na siasa, mkikaa tu kukosoa viongozi tulionao haitasaidia ili mpate kiongozi mwenye weledi na mwenye sifa kama mnavyotaka...
kwani kafanya nini hasa hasa yeye kama yeye..? na hili la urais husiweke guarantee....urais wa nchi hii hauamuliwi na wananchi 100% anaweza akawa...! ukitaka kujua hilo angalia urais wa magufuli leo...wangapi walimpa nafasi ya kushinda before...? lkn end of the day ndio President.... mchakato wa...
Kwani amerusha kuipiga nchi gani.? kama karusha kupima uwezo wake kitechnologia kuna shida gani..? nani akirusha itakua sahihi na nani akirusha ni kosa..? istoshe hajawai kurusha hata kombora moja kwenye nchi nyingine likauwa watu...binafsi naona wale wanaofatafata ndio wanadhamira mbaya na...
Tunaweza kumlaumu Nyerere....na ni kweli alishindwa kuwa na misingi thabiti kwa taifa...! lakini alishindwa kutokana na waliomuweka madarakani tena upo wakati bila yeye kujua kama anakwamishwa kwa yale aliyokua na dhamira nayo njema kwa taifa...lakini hakushindwa kwasababu ya utashi binafsi wa...
'TANZAZO LA KUFUNGA SHUGHULI ZA KIBIASHARA TANZANIA" shughuru za kibihashara hazina ukomo...! ingekua wapo kwa project fulani ingekua sahihi kusema wamemaliza project yao lkn wapo kibihashara na bihashara haina ukomo...
Ishu hapo sio kuna maghala mangapi nchini...? maghala yanaweza kuwa hata mia2..ishu ni yameifadhi chakula kwa kiasi gani...? Mimi nilidhani ungetaja ghala then ungeainisha lina tani ngapi ili tujue tuna kiasi gani..?
Binafsi nashindwa kabisa kuwaelewa wanhabari wetu... taharifa hii kwenye Habari leo imeelezwa eti "uchumi wa tanzania upo vizuri" kwenye magazeti mengine imetajwa hivyo kuwa "IMF yaonya mwenendo wa uchumi" sasa sijui tunafeli wapi? tafsiri ya hii lugha inatusumbua au nini hasa tatizo kwa...
lakini kiliwai kupigwa marufuku hicho kitabu...... ilionekana kama kinafundisha ujasili flani ambao watawala waliona kama ungeleta madhara kwa vijana...wengi waliosoma hicho kitabu kwa hisia wanatembea na vishoka kiunoni mpataka leo hii...
Kuna posibility kubwa ya ndoa kuvunjika baada ya kumueleza..! itategemea sana na hekma busara pia malezi anayotokea mkeo...lkn all in all kumwambia ni sahihi na akitaka kuvunjika kwa ndoa mruhusu aende kwsbb uking'ang'ania atakufanya uishi kwa shida kubwa kiasi kwamba utakosa na mengine katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.